Rais Samia, Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulichokikuta Hazina

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.

Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.

Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.

Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

E6gMc2kXIAA_QAJ.jpg
 
Kila kitu kilikwishalipiwa kwa mwaka huu mwezi Januari.

Kila mradi mkubwa nchini ulikwishalipiwa fedha taslimu kuanzia bwawa la Nyerere hadi Chalinze highway.

Ndege zote 11 kutoka Canada fedha zake zilikwishalipwa tayari zinasubiriwa kuwa delivered Tanzania.

Raisi Samia anapaswa kutafuta fedha na aturudishie ule utaratibu wa kutangaza mapato na gawio la kila mwezi.

Haya ya kutangaza tozo kwenye miamala kwa wananchi maskini ni ukatili.

Twasubiria mwezi januari 2022 pale fedha za elimu bure, mishahara ya December 2021 na ununuzi wa madawa na mengine.
 
Kwakweli hata mimi hua sichukulii kwa wepesi vibonzo vya masudi, yuko well informed.

Huko hazina inawezekana kuna watu walichota mpunga.

Kwa uzoefu wangu Tanzania kwenye mambo kama hayo hua yanashugulikiwa chini kwa chini.

Jukwaani tunacheka pamoja kisha jioni tunafunga akaunti zako zote au unabinywa pumb* useme umepeleka wapi dolali za serikali.
 
Mama Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako. Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina. Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi. Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

View attachment 1858946
Mnataka kuhalalisha uzalimu wetu wa mikodi ya kuwatesa watu.
Komeni kabisa,yale matirioni mliyokuwa mnatutagazia kila mwezi yameenda wapi?
 
Kila kitu kilikwishalipiwa kwa mwaka huu mwezi Januari.

Kila mradi mkubwa nchini ulikwishalipiwa fedha taslimu kuanzia bwawa la Nyerere hadi Chalinze highway.

Ndege zote 11 moya kutoka Canada fedha zake zilikwishalipwa tayari zinasubiriwa kuwa delivered Tanzania.

Raisi Samia anapaswa kutafuta fedha na aturudishie ule utaratibu wa kutangaza mapato na gawio la kila mwezi.

Haya ya kutangaza tozo kwenye miamala kwa wananchi maskini ni ukatili.

Twasubiria mwezi januari 2022 pale fedha za elimu bure, mishahara ya December 2021 na ununuzi wa madawa na mengine.

Kila kitu kimelipiwa? hakuna mtu alikuwa muongo kama magufuli, ndio maana alitunga sheria ya takwimu ili adanganye atakavyo. Ndani ya utawala wake deni la taifa limekua kwa 20t.
 
Acha uongo wewe!!! Tangu lini umekuwa msemaji uongo wa Serikali?

Kila kitu kilikwishalipiwa kwa mwaka huu mwezi Januari.

Kila mradi mkubwa nchini ulikwishalipiwa fedha taslimu kuanzia bwawa la Nyerere hadi Chalinze highway.

Ndege zote 11 moya kutoka Canada fedha zake zilikwishalipwa tayari zinasubiriwa kuwa delivered Tanzania.

Raisi Samia anapaswa kutafuta fedha na aturudishie ule utaratibu wa kutangaza mapato na gawio la kila mwezi.

Haya ya kutangaza tozo kwenye miamala kwa wananchi maskini ni ukatili.

Twasubiria mwezi januari 2022 pale fedha za elimu bure, mishahara ya December 2021 na ununuzi wa madawa na mengine.
 
Kwakweli hata mimi hua sichukulii kwa wepesi vibonzo vya masudi, yuko well informed.

Huko hazina inawezekana kuna watu walichota mpunga.

Kwa uzoefu wangu Tanzania kwenye mambo kama hayo hua yanashugulikiwa chini kwa chini.

Jukwaani tunacheka pamoja kisha jioni tunafunga akaunti zako zote au unabinywa pumb* useme umepeleka wapi dolali za serikali.
What if the the boss lady alikuta pesa lakini yeye ndiyo kashindwa kukusanya hivyo anapagawa kila akiangalia kibubu cha Tanzagiza kiko empty?
Either way, the boss lady lazima asene ukweli jinsi alivyoikuta hazina.

Aseme ukweli tu hata kama shujaa wangu JPM aliacha vaults zipo empty.
 
Mama Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako. Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.

Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina. Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi. Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.

Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"

View attachment 1858946
Kipanya mwongo, juzi hapa tumeona wafanyakazi wa azina wakigawanya maburungutu ya mifedha,na kujilipa miposho ya hajabu mpaka waziri mkuu kashutuka,Samia mwenye tarifa za kila kitu Nchi hii mpaka leo yupo kimyia,hata kutoa tamko amna,kila siku nikupangiwa safari tu.Tumerudi enzi za Kikwete alikuwa akipangiwa safari huku watu wanaomola, lazima azina ibaki tupu tu.
 
Ndo maana kifo cha Teddy Mapunda kilihuzunisha na kufikirisha wengi.
 
Back
Top Bottom