Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.
Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi zisizotimilika. Hili litakurudi sababu itabidi uongope kila mara.
Kuna kosa kubwa umefanya na unaendelea kufanya. Waeleze Watanzania ukweli juu ya ulicho kikuta hazina.
Vinginevyo mzigo wote unakuangukia wewe na unaonekana umefilisi nchi katika kipindi kifupi.
Sema ukweli umekuta nchi haina kitu wananchi watakuelewa.
Nyerere alisema ukweli na kutuambia tufunge Mkanda. "Ukweli utakuweka huru"