Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

dah!
 
Lissu aliwaonya mapema sana kwamba msimshangilie huyu mama anaweza kuwa katili kuliko hata Jiwe.

Naona sasa watu wameona picha halisi. Maandamanonya 23rd ndiyo yatatoa hatma ya nini kitafuata.
 
Wapate misukosuko kama ya nyuma wakimbie Nchi wasisumbue.
 
Wafuasi wa chadema watapewa kesi za Ugaidi
 
Moja ya 4R za Mama ni ustahimilivu kwa hiyo vyema akaziishi kama anavyonadi
Anziishi na ndio maana ameendelea kuwa mvumilivu sana.ila sasa uvumilivu una mwisho wake.Rais wetu hayupo tayari kuendelea kuona watu wakihatarisha usalama wetu kwa maneno ,lugha za kichochezi na mipango ovu ya kuharibu amani na usalama wa Taifa letu
 
Kama vipi mwambie awaue wote ili CCM ishinde kwa kishindo,tumechoka hii mipasho as if yeye ndiye anatupa pumzi ya uhai.
Wewe lete ujinga wako ukiwa kwenye fake ID tu.lakini usijaribu kuleta utani kwenye usalama wa Taifa letu.
 
Natafuta post ya kumsifu Mama Samia nikamwagie makopa tele vijana wa CCM mpo wazee
 
Anziishi na ndio maana ameendelea kuwa mvumilivu sana.ila sasa uvumilivu una mwisho wake.Rais wetu hayupo tayari kuendelea kuona watu wakihatarisha usalama wetu kwa maneno ,lugha za kichochezi na mipango ovu ya kuharibu amani na usalama wa Taifa letu
Lucas Mwashambwa ni mipango gani ya CDM kwa rejea zako imewahi kuwa tishio? Au hata yale maandamano ya kipindi kile yalikuwa na hatarishi ipi ya amani? Watu waliandamana walipomaliza maisha yakaendelea. Watanzania waoga sio kama nchi za wenzetu hatujafikia huko.​
 
Huoni wanasema kuwa Samia Must Go? Sasa wanataka wafanye nini kama siyo kuleta na kufanya Uhaini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…