Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

Kumtambua bila ushahidi inawezekana vipi ukamuamini mtu wa aina hiyo?
Punguza wenge wewe halafu huna hata huo moyo wa upendo kwa raisi ila wewe tu ni mnafiki hata kama raisi huwa anakusoma humu anakuona ni mshamba usiyejielewa. Unasifia kishamba sana as if bila kusifia hutaiona kesho yako. 2025 huenda ndio ukawa mwisho wa huyo unayemsifia na wewe utakimbia humu? Au utakuwa umeshakufa kabisa ???
Hakuna binadamu asiyekosea, na maovu yanayotokea nchini kwetu yanaonekana, Hivi hauna njia ya kuyaandika haya maovu yanatokea ?
 
History ya kukimbilia nje siyo warrant ya kuteka na kuuwa watu hovyo hovyo huku mamlaka zikikejeli wahanga.
...kwamba aliwarejesha kutoka ukimbizini Ili awateke na kuwauwa ama?....
 
Jinga wewe. Mungu chukua hili lishetani haraka Sana lichome moto liteketee
 
Mkono upi? Tena kama wewe usiongee kitu kabisa.maana wewe ni mropokaji sana na mwenye nia ovu na Taifa letu
Narudia tena, leo muovu alikuwa anatetea wahalifu wake ambao huwa anawatuma kuteka na kuua wapinzani. Ukisikia za mwizi ni 40 ndio hii sasa. Hicho kizazi cha kutoa hotuba za vitisho ili kufunika ukweli kilishapita.

Ukweli huu huyu mama muuaji anayeleta hadaa ana roho nzuri hawezi kuubadili. Yeye ni muuaji kwa tamaa ya madaraka. Kama kuna washauri wamemshauri afanye kama alivyokuwa anafanya dhalimu magufuli, basi mwambie kachemka.
 
Ila nyie CCM bara ni malofa sana....yaani huyu mgeni mzanzibar anakuja kuwaua ndugu zenu na nyie mnachekelea tu kama nyani? Mtajitambua lini nyie watu?
 
Sikiliza wewe kiazi, wasaidizi wote wa dikteta Adolf Hitler serikalini hakuna hata moja aliyesalimika kuanzia kwa makamu wake, mawaziri hadi wahudumu wa ofisi yake.
 
Naona leo umepaniki na kuchanganyikiwa vibaya baada leo ya kuambiwa ukweli mchungu
 
Sikiliza wewe kiazi, wasaidizi wote wa dikteta Adolf Hitler serikalini hakuna hata moja aliyesalimika kuanzia kwa makamu wake, mawaziri hadi wahudumu wa ofisi yake.
Mmechanganyikiwa kabisa .mlitaka kuleta za kuleta hapa nchini.sasa mmepewa ukweli mchungu
 
Nadhani amesahau hata maana ya hizo 4R..., huwezi ukaongelea Reconciliation..., alafu unaongelea za kwangu...., kwa mtizamo wango kama tunajenga basi kwa hizi kauli leo tumebomoa....
 
Anyway sijasoma uzi wote nimeishia mistari mitatu ya mwanzo tu.
Nikuulize tu unaishi nchi gani kwa sasa mkuu?
 
Anyway sijasoma uzi wote nimeishia mistari mitatu ya mwanzo tu.
Nikuulize tu unaishi nchi gani kwa sasa mkuu?
Unataka nani akijibu na ujinga wako kichwani.si umesema hujasoma? Majibu ya swali lako yapo kwenye andiko.kwa hiyo endelea kusoma utalikuta jibu lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…