Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

Yaani hilo halina ubishi kwani body language yake iliweka wazi kuwa kapanic. Mwili wote ulikuwa unatetemeka akirusharusha mikono hovyo.
Embu acha vichekesho vyako wewe. Tangia lini umewahi kuona Rais wetu akitetemeka? Rais wetu ni chuma kwelikweli na Mama imara, shupavu, madhubuti na imara sana.
 
Sumu utakunywa wewe unayehangaika usiku na mchana kuandika upuuzi wako humu kwa matumaini ya kuteuliwa lakini huteuliwi.
Kunywa hata sasa sumu uone kama kuna mtu atakaye sikitika au kuumia. Utaona wote wakikupongeza tu kwa kuwaepusha watu na majaribu .
 
Amwambie DPP arudishe kesi zote zianze upya
 
Ila tulimuambia,hayo majitu anayoyakumbatia hayanaga zuri
 
Tulimwambia kwamba JPM hajawahi kuwa mjinga ni vile tu mama alikuwa mgeni hapa mjini.

Hawa watu sio kwamba wanaipenda sana tanzania na wanaitakia mema kinyume na yanayoendelea,NO wanataka hicho kiti.

Sasa awape maana ni haki yao pia.
 
Haki na uhuru ni lazima , asijione kama yeye ndio anazitoa hizo haki, yeye atapita tuu kama wengine, nchi itaendelea kuwepo na wala haitegemei hisani au huruma yake
 
Jana ndiyo amethibitisha kwamba wale watekaji wana baraka zote kutoka kwake.

4Rs ya KONYO? Unahubiri amani nyuma umeficha Mapanga?

Hautaki kujifunza kutoka kwa mtangulizi wako ,kuna rais ambaye alikuwa na ulinzi wa hatari kuliko JIWE? Kiko wapi?

Watu wanalalamikia vyombo vyako vya ulinzi vinaua watu ,vinaumiza watu ,wewe unatela tantalila ,ungekuwa unataka kukomesha hayo matukio ungemfunga MAFWELE kiongozi wa wahalifu ,SATIVA amemtambua na kwa records zake huyo mtu hafai ,ameua watu sana MKIRU na ile report ya Azory angeitoa jina lake lisingekosekana.

Acheni Ujinga ,katiba haisemi mwananchi akitoa maoni ambayo serikali haiyapendi auawe!! Siyo lazima tuwe na mawazo yanayofanana ,mawazo mbadala ndiyo yanayoeleta maendeleo ,hao wanaosupport wananufaika so hawawezi kukupinga na ndiyo maana wametenegeza "whatsapp feki" wanayoita mipango ya chadema na wewe ukaikubali...Bibi Chura kiziwi unaingizwa CHAKA.
 
Back
Top Bottom