Watu wanakufa,ukiulizwa unasema umewarudisha nchini.sasa wamerudi kwa hiyo wasikemee vifo kwa sababu uliwafadhili kurejea nchini.aibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wanakufa,ukiulizwa unasema umewarudisha nchini.sasa wamerudi kwa hiyo wasikemee vifo kwa sababu uliwafadhili kurejea nchini.aibu
Yaani hilo halina ubishi kwani body language yake iliweka wazi kuwa kapanic. Mwili wote ulikuwa unatetemeka akirusharusha mikono hovyo.Ndiyo maana kapaniki
Sumu utakunywa wewe unayehangaika usiku na mchana kuandika upuuzi wako humu kwa matumaini ya kuteuliwa lakini huteuliwi.Kama una hasira kunywa sumu UFE tu maana huna faida yoyote ile hapa Duniani
Anaremba mwandiko kwa taarifa za misiba.Mara aandike hivi,mara vile kizuzuzu tu.Mkuuu
Unasifia sana mpka wasomaji tunachoka nenda kwenye point moja kwa moja mkuu
Embu acha vichekesho vyako wewe. Tangia lini umewahi kuona Rais wetu akitetemeka? Rais wetu ni chuma kwelikweli na Mama imara, shupavu, madhubuti na imara sana.Yaani hilo halina ubishi kwani body language yake iliweka wazi kuwa kapanic. Mwili wote ulikuwa unatetemeka akirusharusha mikono hovyo.
Leo mtalala na viatuAnaremba mwandiko kwa taarifa za misiba.Mara aandike hivi,mara vile kizuzuzu tu.
Huyu bibi huwa anaona hii nchi ni mali yake binafsi na sisi wengine tunaishi kwa hisani yake
Kunywa hata sasa sumu uone kama kuna mtu atakaye sikitika au kuumia. Utaona wote wakikupongeza tu kwa kuwaepusha watu na majaribu .Sumu utakunywa wewe unayehangaika usiku na mchana kuandika upuuzi wako humu kwa matumaini ya kuteuliwa lakini huteuliwi.
Hebu kaoge wewe!Leo mtalala na viatu
Siku ya leo hamtakaa muisahau baada ya kupewa vidonge vichungu.Hebu kaoge wewe!
Kaoge wewe chawa mjamzito!Siku ya leo hamtakaa muisahau baada ya kupewa vidonge vichungu.
Subiri utafikiwa tu na wewe au jamaa zaka....endeleeni kuua watu wasio na hatiaSiku ya leo hamtakaa muisahau baada ya kupewa vidonge vichungu.
Umepaniki mpaka akili imekurukaKaoge wewe chawa mjamzito!
Mbona wewe hujauwawa.acha kuropoka ropokaSubiri utafikiwa tu na wewe au jamaa zaka....endeleeni kuua watu wasio na hatia
Shabiki maandaziWahi Sasa mstari wa mbele tuone