Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Anatukanwa au anaambiwa ukweli, Tatizo la CCM huwa wanapendwa kusifiwa tu kama wewe Unavyosifia hapa. Alafu nasikia kuna ajira nyingine daily unalipwa 50k kuwapamba Watawala.Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu.
Ambapo Rais Samia amesema ya kuwa amekuwa akitukanwa sana na watu ambao wanataka awajibu lakini amekataa kuwajibu.na badala yake kuendelea kuchapa kazi kwa kasi katika kujenga uchumi wetu.amesema wapo wengine mara wasema mama huyu hafai mara ooo kafanya hivi kafanya vile .lakini anasema yeye hasikilizi Makele na badala yake anaangalia kazi iliyo mbele yake ya kuujenga uchumi wetu ambao unaendelea kuimarika na kufanya vyema kila iitwayo leo.
Amesema ila yule atakayekwamisha juhudi zake za kuujenga uchumi wetu na mageuzi yake ya uchumi kwa hakika huyo atamkera sana.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani ukiwa mwanasiasa lazima uwe unadangany waziwazi? π π πNdugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu.
ishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mpaka sasa CHADEMA wameshachanganyikiwa kwa spana na nyundo kali walizotwangwa nazo hii leo. Huku mitaani ni mpoteano kwa CHADEMA.wananchi wameripuka kwa shangwe na furaha sana .Angesema kwanza kama ana uwezo wa kujibu
Hahaha, Mitaa ya Jangwani Oyeee.Kwa hiyo anataka aitwe bibi Chura! Au mimi ndiyo sielewi!!
Naona mmeshachaganyikiwa nakuishiwa nguvu baada ya kuona mbinu zenu za kumtukana Mheshimiwa Rais ili awajibu zimegonga Mwamba.Huyu maza naye mbona ni mtukanaji mzuri tu,alimtukana professor Mkenda kumwambia nonsense, na pia aliwahi kuwatukana mawaziri kuwaita stupid au anafikiri tumesahau?
Vipi watanzania hawajabubujikwa baada ya bimkubwa kutoa hizo 'nondo'?Ndugu zangu Watanzania,
Leo imekuwa siku ya moto sana na ngumu sana kwa wanasiasa uchwara wa Nchi hii.Leo Rais wetu mpendwa ameshusha NONDO za hatari sana zilizowakosha watanzania na kuibua shangwe kwa watanzania mbalimbali waliokuwa wakifuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka ikulu.
Ambapo Rais Samia amesema ya kuwa amekuwa akitukanwa sana na watu ambao wanataka awajibu lakini amekataa kuwajibu.na badala yake kuendelea kuchapa kazi kwa kasi katika kujenga uchumi wetu.amesema wapo wengine mara wasema mama huyu hafai mara ooo kafanya hivi kafanya vile .lakini anasema yeye hasikilizi Makele na badala yake anaangalia kazi iliyo mbele yake ya kuujenga uchumi wetu ambao unaendelea kuimarika na kufanya vyema kila iitwayo leo.
Amesema ila yule atakayekwamisha juhudi zake za kuujenga uchumi wetu na mageuzi yake ya uchumi kwa hakika huyo atamkera sana.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
πππHuyu maza naye mbona ni mtukanaji mzuri tu,alimtukana professor Mkenda kumwambia nonsense, na pia aliwahi kuwatukana mawaziri kuwaita stupid au anafikiri tumesahau?
Tutalipa na tutaendelea kukopa sana tu kwa ajili ya kujenga uchumi wetu kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Tunachoangalia na kuzingatia ni masharti nafuu ya mkopo.Hapo akitoka anaenda kuandaa master plan ya kukopa na kuandaa safari nyingine nje ya nchi.
Hana hoja za kujibu kuhusu muungano uchwara huo ndio maana anasingizia anatukanwa.
Anadhani ni kwa nini anatukanwa?Ndugu zangu Watanzania,