Rais Samia: Wananitukana wakitaka niwajibu, sasa siwajibu..
Mama yetu piga kazi, hachana na mitandao.

Hata JK alitukanwa sana lakini wala hakuangaika nao baadae walichika.
Tunasema kwa kauli moja kuwa Mama chapa kazi na songa mbele kwa kishindo maana mamillioni ya watanzania wapo nyuma yako na wanakuunga mkono.
 

Attachments

  • IMG_20201018_091547.jpg
    IMG_20201018_091547.jpg
    34.7 KB · Views: 1
Tutalipa na tutaendelea kukopa sana tu kwa ajili ya kujenga uchumi wetu kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo. Tunachoangalia na kuzingatia ni masharti nafuu ya mkopo.
Mnakopa halafu watu wanafanya misappropriation ya mikopo halafu unasema mtalipa wakati mzigo unawaangukia wananchi huku viongozi wakificha pesa ughaibuni?
 
Back
Top Bottom