Hakuna mtu atamtukana kama anavyojinasibu, ikiwa atasimamia Utawala bora, adhibiti rushwa, ufisadi. Hii awamu watu wanajichotea, hakuna wa kuwauliza. Madawa ya kulevya yamerudi kwa kasi. Mmomonyoko wa maadili n.k
Anyway tumekuelewa Chura...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] luv nawee huwa uko huku siasani?
 
Kwisha habari huyu rais. Hakuna kitu hapo. Kutulisha matango kutwa kwamba anasafiri kuleta wawekezaji kumbe anauza nchi tu, royal tour haijampa raia yoyote zaidi ya kutwa kutangaza dollar zimeingia huku mtaani na kwenye soko hakuna na bei zipo juu!
Hela ya kodi kuiponda kwenye madhabahu, saa, wasanii, machawa na wajinga gani sijuwi...
HOVYO KABISA
 
Naona umechanganyikana mpaka hueleweki unaandika nini
 
Hakuna anayemtukana baili anakosolewa kwa kuwa na akili duni ya uongozi na kujikuta kawakumbatia MACHAWA wasio na tija kwa maendeleo ya taifa
 
Waambie ukweli Hawa machawa! Hawakuelewi hata kidogo kama huyo Luka Mwashambwa.
 
Lucas Mwashambwa, muamba kalio na kichwa panzi is here again!
 
Anatukanwa au anaambiwa ukweli, Tatizo la CCM huwa wanapendwa kusifiwa tu kama wewe Unavyosifia hapa. Alafu nasikia kuna ajira nyingine daily unalipwa 50k kuwapamba Watawala.
matusi yote yale ya akina biti Kimambi na wenzake unasema ni kuambiwa ukweli?

Tena matusi ya nguoni kabisa, kutoka kwa vijana wa twitter.

Siwezi kusema ni wote lakini asilimia kubwa ni vijana kuwa hawana ustaarabu wa kuandika maneno kwa vile wanajiona wako mbele ya screen wanaweza kuandika wanavyopenda.

Na wala husikii matusi kutoka kwa watu kama akina Tundu Lissu kwa vile wao wanazungumza kwenye majukwaa na ni wastaarabu. Hao ndio wanaosema ukweli.
 
Hujapata teuzi TU?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…