The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mbona hawa hapa juzi wameingia?amesema "Ilipochafuka amani Dar es Salaam, nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njani"
Yani huyu mama sio mzima kabisa na anaroho ya kikakitili sana na angejua bora awe anakaa kimya au asiongelee kabisa maswala ya oktoba 29 maana domo lake kqma lina nuksi kila likinyanyua kinywa linaibu machungu aambiwe tu bado ahajamalizana na vinaja asijisahauRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 09 Januari, 2026 amesema "Ilipochafuka amani Dar es Salaam, nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njani"
"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."
"Maendeleo yetu, kunawiri kwetu kupendeza kwetu, kulala na kuamka salama tutunze amani ya nchi yetu tofauti za mawazo zipo lakini zisitugawe wala zisiharibu utulivu wa kisiasa na amani ya nchi yetu"
View attachment 3527431
AI AI AI AI AI AI AI hii yeye anaumwaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri Dar es Salaam na kwamba vijana hawatamani hata kuingia njiani.
"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."
Vilevile amekiri uwepo wa tofauti za mawazo akisisitiza zisitumike kuleta migawanyo ya kisiasa na kuharibu utulivu wa kisiasa nchini.
"Maendeleo yetu, kunawiri kwetu kupendeza kwetu, kulala na kuamka salama tutunze amani ya nchi yetu tofauti za mawazo zipo lakini zisitugawe wala zisiharibu utulivu wa kisiasa na amani ya nchi yetu"
View attachment 3527431
Hii kauli ni kebehi na dharau ya wazi kwa umma wa Watanganyikatuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani