PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."
Huyu hana AMANI tena akilini mwake.
Anasubiri tu kuonyeshwa kuwa yeye mwenyewe hatakuwa na vimaneno neno vya kipuuzi kiasi hiki

Anapoona hiyo mitutu imemzunguka anafikiri anayo AMANI!
 
Huyu mwanamke ni shetani kabisa,nani kamdanganya kuwa risasi zinao uwezo wa kunyamazisha mawazo mbadala!?

Huyu mama arudi darasani asome japo topic kadhaa za history,

Muamar Gadafi ,Bashiri na sasa Ayatollah wote hawa ni watu wa dini yake waliongoza nchi kwa mikono ya damu lakini haikuzuia is watu kudai haki.

Acha kujitia upofu wewe mzanzibar.
Maduro mkiristo mbona humtaji?
 
Akifungua mdomo tu, anatoa boko!, hivi hana washauri! Kila anapofungua mdomo tu anatonesha kidonda!

Anajitapa kwa aliyoyafanya kwa kujivunia vyombo vya usalama!? Iko siku yaja!

Huyu mwanamke hafai hata ujumbe wa nyumba 10!

Useless president ever!
 
Siku lile toto lake teja likikata moto ndiyo huenda na yeye labda atahisi maumivu ya kufiwa. Hana uchungu hata kidogo na mauaji aliyo yafanya kwa Watanganyika. Yaani anaongea kwa kujisifia kabisa shetani mmoja huyu!
 
Akifungua mdomo tu, anatoa boko!, hivi hana washauri! Kila anapofungua mdomo tu anatonesha kidonda!

Anajitapa kwa aliyoyafanya kwa kujivunia vyombo vya usalama!? Iko siku yaja!

Huyu mwanamke hafai hata ujumbe wa nyumba 10!

Useless president ever!
Wakati akiropoka uchafu huu hadharani anasahau kabisa kuwa ni siku chache tu alikuwa akilaghai watu kuwepo na "MARIDHIANO"!

Utaridhiana kitu gani na mtu kama huyu?

Hiyo "Tume ya Uchunguzi" inafanya kazi gani wakati aliyeiunda tayari anajivunia kazi nzuri iliyofanyika kuwaua vijana?

Samia kichwani hana kitu kabisa.
 
Back
Top Bottom