PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
TAREHE 12/1/2026 TUTAANDAMANA TENA KWA NGUVU KUBWA MARA KUMI YA ILIVYOKUWA 29/10/2025.TUJITOKEZE KWA WINGI ILI TUMSHUGHULIKIE IPASAVYO HUYU ANAYEDAI KUWA TUMEOGOPA KUANDAMANA KITU AMBACHO SIYO KWELI
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri Dar es Salaam na kwamba vijana hawatamani hata kuingia njiani.

"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."

Vilevile amekiri uwepo wa tofauti za mawazo akisisitiza zisitumike kuleta migawanyo ya kisiasa na kuharibu utulivu wa kisiasa nchini.

"Maendeleo yetu, kunawiri kwetu kupendeza kwetu, kulala na kuamka salama tutunze amani ya nchi yetu tofauti za mawazo zipo lakini zisitugawe wala zisiharibu utulivu wa kisiasa na amani ya nchi yetu"

Aende akaitishe mkutano wa hadhara Dar awakumbushe hili suala!
 
Yani huyu mama sio mzima kabisa na anaroho ya kikakitili sana na angejua bora awe anakaa kimya au asiongelee kabisa maswala ya oktoba 29 maana domo lake kqma lina nuksi kila likinyanyua kinywa linaibu machungu aambiwe tu bado ahajamalizana na vinaja asijisahau
Huyu mshenzi inatakiwa atangazwe kama adui wa Taifa
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri Dar es Salaam na kwamba vijana hawatamani hata kuingia njiani.

"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."

Vilevile amekiri uwepo wa tofauti za mawazo akisisitiza zisitumike kuleta migawanyo ya kisiasa na kuharibu utulivu wa kisiasa nchini.

"Maendeleo yetu, kunawiri kwetu kupendeza kwetu, kulala na kuamka salama tutunze amani ya nchi yetu tofauti za mawazo zipo lakini zisitugawe wala zisiharibu utulivu wa kisiasa na amani ya nchi yetu"

Huyu mwanamke Hana hata uhalali wa kuzungumza na watanzania
 
Huyu mshenzi ana dharau sana.
 
Huo ndo ukweli kwa sasa wale nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali wote wameshika adabu.

Hakuna kucheka na nyumbu
 
Tuna Rais mjinga na mpumbavu!

Dhambi ya mauaji yanamtafuna.
Yani bado hajaamini kwamba wasio mtaka ni watanganyika Yeye na wajinga wenzake wanaaminisha ankuwa wasio mpenda ni TEC na CHADEMA na hapo ndipo anapo endelea kukosea hajioni kama hakubaliki na anajifanya hataki kulitambua hilo.
 
Ila sisi Watanzania bana….yaani huyu nguchiro anawadhihaki watu wote waliouliwa na ma askari wake halafu na sisi tunamwacha tu atambe!

Kwa anavyotamba hivyo haieleweki hata ni kwa nini aliunda tume ya kumchunguza maana majibu yote anayo!
 
Back
Top Bottom