PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa hiyo anatusimanga?
Hajui kama bado damu alizomwaga hazijatulia?
Haya Mama hakuna damu iliyomwagwa itaenda bure!
 
Huyu mwanamke ni shetani kabisa,nani kamdanganya kuwa risasi zinao uwezo wa kunyamazisha mawazo mbadala!?

Huyu mama arudi darasani asome japo topic kadhaa za history,

Muamar Gadafi ,Bashiri na sasa Ayatollah wote hawa ni watu wa dini yake waliongoza nchi kwa mikono ya damu lakini haikuzuia is watu kudai haki.

Acha kujitia upofu wewe mzanzibar.
Yani kila akiongea huwa anazidisha hasira kwa wananchi. Hapa tumekula hasara sana kwa kuwa na huyu mama.
 
Ni makosa makubwa kuwalaumu washauri. Huyu ni kilaza, hasaidiki, hashauriki, hasikilizi yoyote. Tanzania yote anaiona kama geto lake anaweza kufanya chochote na Watanganyika wote kama watumwa wake.

Ukimpa ushauri mzuri asioupenda anakufukuza kazi, kukuteka ama kukuua kabisa.
Yani ni shida sana. Shida ni yeye. Angalia yaliyompata Simbachawene!! Ukijitahidi tumekula hasara kurekebisha mambo for the better unawekwa pembeni. Anapenda kufanya kazi na wapumbavu ili wafanye mambo ya kipumbavu pamoja. Huyu ni mjinga, hamnazo, halina hata chembe ya akili
 
Yaani nakwazika sana hata mimi, hivi kinawashinda nini kutoa kauli moja tu jumapili moja maandamano yaanzir hapo hapo kanisani!
Wanakazi ya kutoa vijembe tu. Sasa vijembe vinasaidia nini? Hawa wanatuangusha sana sana.
 
Makanisa yanatuangusha sana
Kama Makanisa yooooooote yakatoka na kauli moja ya Maandamano tutarudisha nchi kwa wananchi

Kanisa Katoliki na Kanisa la Gwajima tu!
Makanisa mengine yoooote ni laana tu!

Haya Makanisa mawili:
Wakiwaambia waumini wao nchi nzima neno moja tu watu waandamane, basi Asubuhi Njema yaja!
Sijui kwa nini hawaoni nguvu yao. Wanatoa visentensi viwili vitatu vya vijembe, halafu wamemaliza. Wao ni kuongea tu haki haki, baaasi. Useless hawa wote, hakuna kanisa lenye afadhali. Na ndio mtanyanyasika mpaka basi.
 
Dah huyu mama hapana naungana na ule Uzi siyo rais wangu
 
Mda mwalimu mkuu, ipo siku hizi sauti za kubagaza wenye nchi hazitakuepo asema Bwana
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri Dar es Salaam na kwamba vijana hawatamani hata kuingia njiani.

"Kwa wale wanaochokolewa masikio kuvunja amani ya nchi hii niwasihi acheni mara moja. Amani ikichafuka haichagui na tuulizeni sisi wa upande wa pili ilipochafuka amani Dar es Salaam tu pale nenda kaulize leo vijana kama wanataka kuingia njiani, hakuna anaetamani, amani ikivunjika haichagui."

Vilevile amekiri uwepo wa tofauti za mawazo akisisitiza zisitumike kuleta migawanyo ya kisiasa na kuharibu utulivu wa kisiasa nchini.

"Maendeleo yetu, kunawiri kwetu kupendeza kwetu, kulala na kuamka salama tutunze amani ya nchi yetu tofauti za mawazo zipo lakini zisitugawe wala zisiharibu utulivu wa kisiasa na amani ya nchi yetu"

Aliyechagua hii changudoa kuwa Makamu wake wa rais hana akili ,Sorry to say this but Magufuli was the biggest fool too. Damn , I can't imagine the level of ignorance and stupidity that leaks out this whore's foul mouth .......
 
Yaani huyu Malaya tukishapindua hili genge LA vibaka ni yeye na ******* wenzake wote kufungwa kwenye gari na kuburuzwa kwenye lami mpaka miili yao iishe usibaki hata mfupa , yaani nyama na mifupa viliwe na lami mpaka kuisha na iwee live dunia nzima waone
 
Back
Top Bottom