Rais Samia: Wanaopinga mabahewa ni watoto waliozaliwa mwaka 1990

Hahah eti Tanzania siyo Marekani, mbona alisema Mafuta Marekani ni aghali klk Tanzania hapo alikuwa analinganisha nini na nini? Kweli uongo mgumu sana kuutetea, hakuna kitu kizuri na kinachorahisisha maisha kama ukweli, kwani haujitaji nguvu nyingi kuutetetea, na wala huwezi kujichanganya hata siku moja kama ukiwa mkweli, …
 
Tena huto tu vijana tunajikojolea bado kitandani. Vikome kabisa kuongea ovyo ovyo
 

Tulio soma cuba tumeelewa.
Hahaaaa.
 

Attachments

  • editoon-dec-14-22.jpg
    35.7 KB · Views: 3
Alexander the great aliingia kwenye uongozi akiwa na miaka 20, alifariki akiwa na miaka 32 tu, lakini mambo aliyoyafanya ni makubwa, jamaa aliweza kupigana vita akashinda akiwa outnumbered, alipigana aka conquer nchi nyingi Africa, Asia na Ulaya.

Hawa wazee wamezeeka kuanzia mionekano mpaka akili, vijana wana uwezo mkubwa tu wa kufanya mambo makubwa na ya kushangaza. Sio katika science na teknolojia, uongozi n.k,

USA wana raisi mzee lakini wanaamini ktk michango ya vijana na kuwathamini, wanawapa nafasi katika mambo mengi, Tanzania mtu ana miaka 80 anakaribia kukata roho anajifanya anajua kila kitu, afanye kila kitu yeye.

Ajuza alichozungumza ni dharau.


 
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mama kumbe hamna kitu ee?

Kama ni hivyo kwanini kwenye magari yao wasinunue used ya walau milioni 30 kuliko kununua mashangingi ya mamilioni?
Magari yao sio ya waha🀣🀣🀣🀣
 
 
CCM kwisha kabisa
 
Loh kwenye hii picha Msanii sijahusika
 
Kasema kweli kabisa.
Mimi nimezaliwa 1990 sijawahi kupanda treni wala kuiona. Nimezaliwa huku mtwara na nimeishi muda wote huku huku mtwara. Lakini nafahamu kitu kizuri na kibaya.
Shida yetu ni dhamani ya hayo mabehewa. Ni kweli ni 2.5bn kila behewa? Na kati ya hizo 2.5bn kamba ilikuwa kiasi gani?
 
Mama ameamua kuwa Khadija Kopa.
Mama wa mipasho.. Hapa ndio umuhimu wa katiba mpya unapo onekana.
Anadhani hizo pesa ni zake ana toa mfukoni. Kumbe ni mali ya Watanzania na yeye ni msimamamizi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…