Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni kwisha ila watanzania ndiyo kwisha zaidi. Haya maelezo yanaonyesha kiwango cha akili cha viongozi wetu na wanafanya hivyo wakijua kiwango cha akili cha wananchi wanaowangoza.CCM kwisha kabisa
Jamani huu mbona siyo mpasho. Hakuan mipasho hapa bali ni dharau. Anajua wananchi wengi ni mazuzu.Mama ameamua kuwa Khadija Kopa.
Mama wa mipasho.. Hapa ndio umuhimu wa katiba mpya unapo onekana.
Anadhani hizo pesa ni zake ana toa mfukoni. Kumbe ni mali ya Watanzania na yeye ni msimamamizi tuu
Umemaliza mkuu, 📌hakuna kitu kizuri na kinachorahisisha maisha kama ukweli, kwani haujitaji nguvu nyingi kuutetetea, na wala huwezi kujichanganya hata siku moja kama ukiwa mkweli
Kwahiyo Marekani ilivyokuwa na miaka 60 ilikuwa kama sisi? Huyo mama anashindwa kujua kwamba serikali ina sheria ya manunuzi inayotaka ununuzi wa vitu vipya. Na hata kama ni mitumba, mbona bei yake inazidi ya mabehewa mapya? Hapo sio suala la kuzaliwa lini, bali ni uhalisia wa bei."Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo,"- @SuluhuSamia
Tunachojua..Kijana aliyezaliwa mwaka 1990 ambapo sasa hana miaka 32 wengi wa hili kundi wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira,uchumi usioimarika,kukosa kazi rasmi na sio wao pekee wakubeza mambo ambayo kwa upande wa Serikali hayaendi sawa,
Mama Samia ana point,
Na hao watoto wala hawajui treni inafananaje!
Miaka 32 na miaka 60 ipi ni miaka mikubwa?Waliozaliwa 1990 ni watoto??!
Akasahau Marekani wanaonunua Kwa gallon Si Kwa Lita!!!Mama anapenda sana Reference za Marekani, maana hata bei ya Petrol alisema kwetu ni nafuu ukilinganisha na Marekani
Pale umri wa mtu unapotaka kutumia kubadiri used mabehewa yawe mapya..!!"Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo,"- @SuluhuSamia
Tunachojua..Kijana aliyezaliwa mwaka 1990 ambapo sasa hana miaka 32 wengi wa hili kundi wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira,uchumi usioimarika,kukosa kazi rasmi na sio wao pekee wakubeza mambo ambayo kwa upande wa Serikali hayaendi sawa,
....🙄🙄🙄Hivi utaratibu wa kuandaa hotuba kwa viongozi wanapotembelea maeneo mbali mbali bado upo?
Ila kusema kweli kuna mambo yanachekesha sana."Wale wanaopenda tu kufujafuja kila kitu, wafuje lakini warudi nyuma lakini ukute mfujaji mwenyewe kazaliwa miaka ya 90 hajui tulikotoka, anafananisha na Marekani anakokuona na anataka Tanzania ifike kule bila kujua anaojifananisha nao wana miaka 200 ya maendeleo,"- @SuluhuSamia