GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.
Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.
Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.
Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.