Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

Sasa mama samia atafanyaje wakati hao ni mentor wake??
Ni kweli Mkuu kwani kuna Mmoja hapo Mama anamuamini hadi Kero na ana Shamba Kubwa sana huko huko na Mazao anayovuna 25% anamuuzia Tajiri Mwenye Timu Mbagala, 25% anayauza Visiwani Comoro pamoja na Mbuzi wake na 50% anauzia Sudan ya Kusini.

Kazi ipo.....!!!!!!
 
Bora ni Wewe kuwahi upesi Mirembe Mental Hospital Mkoani Dodoma ukaanze Matibabu yako ya Ugonjwa wa Akili unaokusumbua.
Sawa, turudi kwenye hoja. Maji ya mto ruvu huwa kwa asilimia kubwa yanaishia baharini, ipi bora, kuyatumia au kuyaacha yamwagikie baharini? Au kuna bwawa la
Kuyazuia yasiende moja kwa moja baharini?
 
Inamaana hata tiss haijui!? Basi mleta taarifa Kama ni taarifa za kweli apewe kitengo hapo eagle house!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wengine tuna Vipaji na Karama ya kujua Mambo na kupata Taarifa za haraka na uhakika kuliko hata hawa SSIT wako Uliowataja hapa.
 
Hii nchi ya ajabu sana mpaka leo tunasingizia mvua Mungu katupa maarifa na vyanzo lakini bado tunakaa na kumuachia atufanyie kila kitu kweli nchi yenye kupata mvua kila mwaka lakini tunashida zilezile hivi ukija mwaka tukapata ukame tu si tutakuwa tunakutana maofisini tunazidiana kunuka tu. Kuna nchi nyingi duniani hawapati mvua lakini hawana shida ya maji sababu wametumia maarifa kuweza kujikimu sisi tumebweteka sana na Rehma za Mungu hatutaki kufikiri nje ya box.
 
Wengine tuna Vipaji na Karama ya kujua Mambo na kupata Taarifa za haraka na uhakika kuliko hata hawa SSIT wako Uliowataja hapa.
Tumia akili.

Maji kuishia baharini ndiyo asili ya mito, kwa sababu hiyo mito inapotiririka kuelekea baharini inalisha viumbe wengi njiani. Haitoi haki kuchepusha mito!
 
Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.

Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.

Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.

Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
Hongera sana Bro kwa kuwa Mzalendo. Maelfu ya watu wanatatizika kwa maslahi ya watu wachache.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Hii nchi haijawahi kuwa na viongozi
Hata huyo tunayemuita baba wa taifa basi tu. Bora Marealle angekua rais wa kwanza kipindi kile, nchi ingekua mbali sana.
Utanichefua sasa hivi Mkuu hebu kuwa na Adabu na Heshima kwa Hayati Baba wa Taifa kwani Misingi yake aliyoijenga ndiyo leo hii inakupa Jeuri zote hizi ulizonazo.
 
Sawa, turudi kwenye hoja. Maji ya mto ruvu huwa kwa asilimia kubwa yanaishia baharini, ipi bora, kuyatumia au kuyaacha yamwagikie baharini? Au kuna bwawa la
Kuyazuia yasiende moja kwa moja baharini?
Si mlifanya Siri mkijua wenye Akili Kubwa na Wabobezi wa Udadisi na Ufuatiliaji wa Masuala ( Mambo ) akina GENTAMYCINE hatutajua mnachokifanya huko Ruvu Mtoni na leo mnatusababishia Mgawo wa Maji Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro...!!!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
 
Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa.

Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro ni kutokana na Ukame uliosababisha kina cha Maji ya Mto Ruvu kupungua Kina chake.

Mheshimiwa Rais Samia kuna Mteule wako Mmoja huko Mkoa wa Pwani ana Shamba Kubwa halina Mfano na Mabwawa Sita ya Kufuga Samaki aina ya Sato na Sangara ambapo nae ameyachepusha Maji ya Mto Ruvu na kutusababishia sasa akina GENTAMYCINE tutoke na Ndoo zetu Tegeta hadi Mbagala Kuu kutafuta hii Precious Liquid ( Water ) ili tusinuke hovyo 'Vikwapa' na 'Vizalisha Binadamu' vyetu vya Kutukuka.

Wadadisi Sie hatudanganyiki hovyo.

Cc: Bujibuji Simba Nyamaume, adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi etc.
Genta, nakubaliana na wewe 100%. Mbaya zaidi wametupumbaza na vijikamera kuonesha maji yalivyopungua. Inauma sana.

Najiuliza kwanini Mh wetu wa hili jiji alienda na camera kiasi kile? na kwanini achukue hatua za kutangaza mgao haraka kiasi hichi, na bado hakuna njia/jitihada zozote zilizotangazwa kukabiliana na mgao.

Tutaendelea na hali hii mpaka lini?

Genta, nakusapoti, kuna kitu hakiko sawa! waziri mwenye dhamana afanye kama anatuma kikosi kazi kutoka pale wizaran kwake, huku White house ikimulika kwa jicho kupambana na hii hujuma.
 
Back
Top Bottom