Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, hakuna hiyo sasa

Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, hakuna hiyo sasa

Kuzoea vya bure ni matunda ya sera mbovu za Ujamaa alizoleta Nyerere.
 
Ananikumbusha yule Malikia wa "kama mikate ghali wapeni keki".
 
siasa inaiangamiza hii nchi na uelewa mdogo wa wananchi wake ndiyo kichocheo kikubwa.
 
Huenda alimsikia wazir wa ngawir akinena.

Na wala isingeshangaza sana kusemwa na
Huyo jamaa.
 
Back
Top Bottom