Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubaliana na wewe 100 %. Rais, Mawaziri na Wabunge ndiyo wanapata vya bure na wamezoea. Sasa wamenogewa wanajisahau. Yule Mbunge Slaa alipokuwa wazi kuwa hawalipwi kodi Ndugai akaamua kumnyamazisha.Kafikia stage kusema watanzania wanapenda vya bure
Anikumbushe toka Hayati Nyerere ameachia madaraka ni lini Tanzania kuna kitu chochote cha bure?
Elimu yenyewe hiyo mnayosema ya bure kuna ndugu yangu mwaka huu katoa michango ya zaidi ya laki 2 mtoto wake aliyekuwa anaanza shule ya kata tena vijijini huko!!
Rais anatukosea heshima watanzania hakuna Mtanzania anayepata huduma yoyote bure isipokuwa yeye mwenyewe na Mawaziri wake na wengine Serikalini.
Maji, Umeme,kodi, na kila kitu watanzania tunalipia ndio maana mnapata pesa za bure kununua ma v8
Hakuna Mtanzania wa kawaida anayepewa chochote bure leteni umeme na maji ya uhakika acheni porojo. Tuna serikali ya kipumbavu Sana itoshe kusema!!.View attachment 2425417
Kwanza hana mvuto akiongeaMalkia wa nyuki anatoa asali ya bure kwa msoga tu.
Dharau dhidi ya Raia huletwa na viongozi ambao hawakuchaguliwaKafikia stage kusema watanzania wanapenda vya bure
Anikumbushe toka Hayati Nyerere ameachia madaraka ni lini Tanzania kuna kitu chochote cha bure?
Elimu yenyewe hiyo mnayosema ya bure kuna ndugu yangu mwaka huu katoa michango ya zaidi ya laki 2 mtoto wake aliyekuwa anaanza shule ya kata tena vijijini huko!!
Rais anatukosea heshima watanzania hakuna Mtanzania anayepata huduma yoyote bure isipokuwa yeye mwenyewe na Mawaziri wake na wengine Serikalini.
Maji, Umeme,kodi, na kila kitu watanzania tunalipia ndio maana mnapata pesa za bure kununua ma v8
Hakuna Mtanzania wa kawaida anayepewa chochote bure leteni umeme na maji ya uhakika acheni porojo. Tuna serikali ya kipumbavu Sana itoshe kusema!!.View attachment 2425417
Sheiza umeacha kutoa asali kwa bei ya bure?Malkia wa nyuki anatoa asali ya bure kwa msoga tu.
Maza sasa ni tajiri hatari...kafumua ligho..ro..fa hatari pale MbweniNi ile misaada wanayoikomba na kuifuja wenyewe kwa visingizo kibao.
Sawa tumezoea vya bure.Rais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu!
Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na mingine inaendelea.
Awali mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo alitoa kilio cha wakazi wa Arusha kulalamikia bili kubwa za maji na kumuomba Rais Samia aiagize wizara ya maji iwapelekee mita kama za LUKU na mtu akitaka maji ya 10,000 anaweka anatumia mpaka iishe.
Arusha
Kauli ya Rais Samia ni ya ukweli kabisa. Serikali imetoa ruzuku kwa vitu vingi mno na watanzania wamechukulia kama haki yao. Nadhani ni wakati sasa wa kuondoa ruzuku ili kuwakomesha kabisa hawa wanaodharau viongoziRais Samia: Watanzania tumezoea bure, kila kitu bure, kila kitu beiwauree, hakuna hiyo sasa. Tulipeni ili miradi tuweze kuitunza. Sawa ndugu zangu!
Pia Rais Samia ameongelea miradi ambapo amesema katika miaka miwili aliyokabidhiwa madaraka hakuna mradi uliosimama ambapo mengine imezinduliwa na mingine inaendelea.
Awali mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo alitoa kilio cha wakazi wa Arusha kulalamikia bili kubwa za maji na kumuomba Rais Samia aiagize wizara ya maji iwapelekee mita kama za LUKU na mtu akitaka maji ya 10,000 anaweka anatumia mpaka iishe.
Arusha
Kauli ya Rais Samia ni ya ukweli kabisa. Serikali imetoa ruzuku kwa vitu vingi mno na watanzania wamechukulia kama haki yao. Nadhani ni wakati sasa wa kuondoa ruzuku ili kuwakomesha kabisa hawa wanaodharau viongozi
Ndo maana kaanzisha matozo yasiyo na msingi ila tuondikane na vya bure!Tulichokizoea bure kitu gani hicho Mkuu wetu Mh Rais?.