Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hakuna mzanzibar anayepata umeme na maji bure, kila nyumba ina luku hakuna bure sijui nani anawadanganya.Wanzazibar wenzake wanapata umeme na maji bure sisi huku kila kitu tunalipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mzanzibar anayepata umeme na maji bure, kila nyumba ina luku hakuna bure sijui nani anawadanganya.Wanzazibar wenzake wanapata umeme na maji bure sisi huku kila kitu tunalipa
Njoo zanzibar halafu uoneshe kitu gani bure huku. Acha mawazo ya kitoto.Yeye hajui bei ya kitu chochote kila kitu ni bure kama ilivyo kwa wazanzibar wenzake
Madaraka ya kulevya.Km kiongozi anasema maneno km hayo wakati tunakatwa kodi na tozo juu bado huduma za afya ni mbovu.Viongozi wengine wako busy kusifu na kuabudu.Nchi imekosa mwelekeo sababu nj ya viongozi walio shiba wanapigiana simu ohoo hawa pimbi tatizo lao wamezoea vya bure na kesho nawachana [emoji56][emoji56].acha tu niishie hapa
Rais hajielewi huyu.Ni Bure Gani tuliyozoea? Sijaelewa hapo
Katiba imetuletea rais asiyeweza kutawala., bora Bashiru alliance hili mapema akataka uchaguzi.Kumbe ndio maana hashtuki bei za bidhaa zinavyopanda kila siku, kwa hii mentality tujifunge mikanda.
Hivi wale mawaziri wazanzibar wanaoambana na mh.Rais kwenye ziara zake huku bara kazi yao huwa nini hasa, utasikia waziri wa bara anasema waziri pacha wangu kutoka Zanzibar simama usalimie kidogo, akisimama utasikia mpapinduzi, mapinduzi, najiuliza wanatoka huko kote kuja kutwambia Mapinduzi.Wanzazibar wenzake wanapata umeme na maji bure sisi huku kila kitu tunalipa
Kazi yao ni kusifia biashara imeishaHivi wale mawaziri wazanzibar wanaoambana na mh.Rais kwenye ziara zake huku bara kazi yao huwa nini hasa, utasikia waziri wa bara anasema waziri pacha wangu kutoka Zanzibar simama usalimie kidogo, akisimama utasikia mpapinduzi, mapinduzi, najiuliza wanatoka huko kote kuja kutwambia Mapinduzi.
Kwa hiyo mi ni mgeni Zanzibar, kuna efd machine, tozo? bei ya petrol na Zanzibar na bara ni sawa? acheni nyie mnapata kila kitu bure toka kwetuNjoo zanzibar halafu uoneshe kitu gani bure huku. Acha mawazo ya kitoto.
Kwani sisi wageni Zanzibar? niambie bei ya petrol Uguja na Dar ni sawa?Hakuna mzanzibar anayepata umeme na maji bure, kila nyumba ina luku hakuna bure sijui nani anawadanganya.
Tumeisha wazoea tabia zenu ni kulialia utadhani hamna mikono ya kufanya kazi.Kwanini hamkuwasha vibatari kama hiyo jeuri mnayo??Sisi watanganyika tumeisha jitolea kuwatunza mpaka Mungu atakapo amua.Hakuna mzanzibar anayepata umeme na maji bure, kila nyumba ina luku hakuna bure sijui nani anawadanganya.
Wanalipwa posho za safari za watanganyika za bure kwasababu wanataka vya bure na kwasababu rais ni mzznzibar na rais wenyewe ameshindwa kutofautishi mipaka kati ya Tanganyika na zanzibar ndo maana unaona waziri wa Zanzibar anazungumzia maswala ya Tanganyika.Hivi wale mawaziri wazanzibar wanaoambana na mh.Rais kwenye ziara zake huku bara kazi yao huwa nini hasa, utasikia waziri wa bara anasema waziri pacha wangu kutoka Zanzibar simama usalimie kidogo, akisimama utasikia mpapinduzi, mapinduzi, najiuliza wanatoka huko kote kuja kutwambia Mapinduzi.
Wanavunja kaitiba bila kujua au kwa makusudi ili kujipendekeza kwa Rais...Hivi wale mawaziri wazanzibar wanaoambana na mh.Rais kwenye ziara zake huku bara kazi yao huwa nini hasa, utasikia waziri wa bara anasema waziri pacha wangu kutoka Zanzibar simama usalimie kidogo, akisimama utasikia mpapinduzi, mapinduzi, najiuliza wanatoka huko kote kuja kutwambia Mapinduzi.
Na hawana mgao wa maji wala umeme huko..Wanzazibar wenzake wanapata umeme na maji bure sisi huku kila kitu tunalipa
Sisi ndiyo tunawapa kila kituNa hawana mgao wa maji wala umeme huko..
Tuneyalipia yale hatujapewa bure ni mali yetu yamelipiwa kwa kodi zetuNauliza tu si Kwa ubaya,ivi yale mabehewa tumenunua au tumepewa bure?
Nani halipi kodi wewe? Hivi unakielewa ulichokiandika hapo? Watu wanacholalamikia ni huduma mbovu zinazotolewa na serikali kwa mfano umeme na maji vimekua kero, tena umeme ndio zaidi ni kero kubwa sana, sasa kuna ambae alipii umeme anatumia umeme bure? Ni nani ambae halipii umeme anaetumia umeme bure km sio serikali yenyewe kutegemea kulipia umeme wanaotumia kwa kutumia kodi zetu? Sasa kati ya sisi na wao nani anatumia bure?Rais Yuko sahihi, watanzania tumekuwa watu wa kulia lia na kulalamika Kama yatima, Ni wakati Sasa watanzania tutambue kuwa ulipaji Kodi niwajibu wetu na sio kulia lia.