Kafikia stage kusema watanzania wanapenda vya bure
Anikumbushe toka nyerere ameachia madaraka ni lini Tanzania Kuna kitu chochote Cha bure?
Elimu yenyewe hiyo mnayosema ya bure Kuna ndugu yangu mwaka huu katoa michango ya zaidi ya laki 2 mtoto wake aliyekuwa anaanza shule ya kata tena vijijini uko!!
Rais anatukosea heshima watanzania hakuna mtanzania anayepata Huduma yeyote bure isipokuwa yeye mwenyewe na mawaziri wake na takataka zingine serikalini.
Maji, Umeme,kodi, na kila kitu watanzania tunalipia ndio maana mnapata pesa za bure kununua ma v8
Hakuna mtanzania wa kawaida anayepewa chochote bure leteni umeme na maji ya uhakika acheni polojo. Tuna serikali ya kipumbavu Sana itoshe kusema!!.
View attachment 2425417