Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Scratch your head how to eradicate povert usilaumu tu watu, wewe umewajibika jwa kiwango gani kuundoa huo umasikiniKwahiyo looting ruksa kwa vile matatizo yote hayawezi kutatuliwa na hela hizo and the rest kama ulizozianisha. Therefore tusikemee ufujaji kwa vile hizo ni hela kidogo hazitatua matatizo yote niliyoyaainisha?
Mwanao aibe/atawanye pesa kwa vile hazitamaliza matatizo yako?
Umeniacha hoi! If that is the noble thinking, then tumekwisha......
Nimekuuliza tu hso viongozi wakitolewa wote umasikini TZ utakuwa historia?
Kama shida ni viongozi , kwa nini nchi zilizoondoa viongozi wa chama tawala bado masikini? Mfano ni Nigeria kiongozi wa upinzani Buhari katawala miaka 8 sasa .
Mna jadili zaidi kwa mihemko hasa ya wanasiasa na wanaharakati.
Jadili scientifically, je ni kweli sababu ya umasikini wetu ni hao viongozi au chama tawala?
Hapo Kenya hawajakiondoa chama tawala na kuvadili katiba na kuwaondoa wale walidhani ni mafisadi ! Je Kenya ni nchi tajiri?
Kwa mtazamo wenu huo mtaendelea kujidanganya sana kuamini eti viongozi ndio chanzo cha umasikini wenu.
UMASIKINI NICOMPLEX TERM NA KUUNDOA SIO KWA MAJIBU RAHISI TU ETI MAFISADI NDIO WANAO SABABISHA.
Unataka kuniambia hizo pesa wanazoiba na kutumia ndio chanzo cha umasikini TZ.
Shida kubwa sana ninayoiona kwa sisi waafrika ni kutojipa homework ya kufikiri na kubeba majibu rahisi ya watu wengine, Hasa wanasiasa.
Uongozi bora unaweza changia tu asilimia fulani lakini sio chanzo kikuuu cha utajiri au umasikini hasa kwa mtu mmoja mmoja.
Kwa nini usiulaumu UJINGA KUWA NDIO CHANZO KIKUU CHA UMASIKINI.
BRo! Hata tuwe na Magufuri mia hakuna maendelro yataletwa na kiongozi bila urashi wa wananchi wa kawaida.
Ubapolaumu biobgozi tupia jicho na kwenye mtaa, kwenye grass root Je watu wana dhamira ya kuondokana na umasikini.
Niba uhakika hata ukiwekwa wewe mzalendo kywa kiongozi huwexi uonfoa yasikini uliopo kwa sisi wa watanzania. Watabzania wameanya unasikini uwe sehemu ya mrisga yao kwa vitenfo ba jwa fikra.
Zamani nilikuwa nalaumu kama wewe, siku hizi nayapima mambo kayika uhslisia wake.
Siungi mkono ufisadi ila siamini kuwa ufisadi ndio chanzo kikuu cha umasikini wetu, ufisadi huenda usifike hata 10% ya sababu ya umasikini wetu.