Rais Samia, watanzania wameudhika sana na Idadi/aina ya watu katika msafara wako India

1. Abdul alikwenda kama nani?
2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini?
3. Mawaziri lukuki wa nini?
4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo

Pesa zimepondeka kisawasawa

HAPO HAPO TUNALIA
1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya kulipa
2. Mikopo kwa wanafunzi ni ya ubaguzi...eti hakuna hela
3. Hospitali hazina dawa
4. Kodi mbele na nyuma
5. Tozo lukuki
7. Giza kila mahali
8. Shule hazina madawati
9. Stahiki za wafanyakazi hazilipi, hasa waliostaafu

ongezeni mengine ya kuudhi!
Rais na mawaziri wake wapo kazini, hawalali, hawapumziki, usiku na mchana, ndani ya nchi, nnje ya nchi wanachapa kazi barabara kwa maslahi mapana ya Taifa.

hao wengine ni waTanzania kama wewe tu, next time itakua wewe mkuu, ntakupendekeza
 
Umasikini unazaa mawazo ya Hovyo sana!

Yaani ulichofuatilia kwenye ziara yote hiyo ni hicho ulichoandika hapo?

Wewe umesikia imesainiwa Mikataba ya Miradi 15-wewe ulidhani ni nani wangesaini iyo Mikataba?

Siyo mawaziri husika?

Tujadili namna Rupia inaweza kufanya Biashara na Shilingi!

Hizo hoja ni nyepesi mno!!!
 
Mambo mengine hayana tija tumuache mazeli apumue. Tumuhoji mambo ya msingi hasa hasa bandari zetu na katiba mpya.

Kibindi kile Obama alivyokuja na wanawe hapa Tanzania kwa nini hatukuhoji wamekuja kama akina nani?
Kwahiyo hapa ni USA vs Tanzagiza, hapa simu yangu muda wowote imazima, ulinganishe USA kweli ?
 
1. Abdul alikwenda kama nani?
2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini?
3. Mawaziri lukuki wa nini?
4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo

Pesa zimepondeka kisawasawa

HAPO HAPO TUNALIA
1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya kulipa
2. Mikopo kwa wanafunzi ni ya ubaguzi...eti hakuna hela
3. Hospitali hazina dawa
4. Kodi mbele na nyuma
5. Tozo lukuki
7. Giza kila mahali
8. Shule hazina madawati
9. Stahiki za wafanyakazi hazilipi, hasa waliostaafu

ongezeni mengine ya kuudhi!
Wivu tuu,yote hayo ya kuanzia namba 1-9 yangekuwa ndivyo ilivyo basi huko mtaani kusingekalika.

Mwisho kabisa kelele za humu jf Wala hazitawasaidia kubadili kitu.
 
Mambo mengine hayana tija tumuache mazeli apumue. Tumuhoji mambo ya msingi hasa hasa bandari zetu na katiba mpya.

Kibindi kile Obama alivyokuja na wanawe hapa Tanzania kwa nini hatukuhoji wamekuja kama akina nani?
Kwaiyo mama abduli na Obama hali zao za nchi now tunaweza ku compared
 
Mambo mengine hayana tija tumuache mazeli apumue. Tumuhoji mambo ya msingi hasa hasa bandari zetu na katiba mpya.

Kibindi kile Obama alivyokuja na wanawe hapa Tanzania kwa nini hatukuhoji wamekuja kama akina nani?
Imalamawazo angalia walivyokujibu wengi. next time think twice , thrice before responding!
 
Huku kina mwijaku wanalipwa midollar kwenda kutangaza utalii ufaransa
 
Umasikini unazaa mawazo ya Hovyo sana!

Yaani ulichofuatilia kwenye ziara yote hiyo ni hicho ulichoandika hapo?

Wewe umesikia imesainiwa Mikataba ya Miradi 15-wewe ulidhani ni nani wangesaini iyo Mikataba?

Siyo mawaziri husika?

Tujadili namna Rupia inaweza kufanya Biashara na Shilingi!

Hizo hoja ni nyepesi mno!!!
Kwa akili yako miniature unaona hivyo! Wewe una umasikini wa akili ya kufikiri........ wasanii wamesaini miradi gani? Rubbish!
 
Rais na mawaziri wake wapo kazini, hawalali, hawapumziki, usiku na mchana, ndani ya nchi, nnje ya nchi wanachapa kazi barabara kwa maslahi mapana ya Taifa.

hao wengine ni waTanzania kama wewe tu, next time itakua wewe mkuu, ntakupendekeza
Rubbish!
 
rubbish mwenyewe...magufuri kawapachika wasukuma wangapi kwenye sector mbalimbali mbona hilo hamlisemi au unataka ushahidi hapa?......ndugu zake wangapi wamepewa ajira au unataka niwataje hapa?........tupunguze chuki za kipumbavu
You are stupid and miniature-minded.
Why are you stupid and a miniature creature? The saying goes thus: Two wrongs don't make a right ...........the fact that someone has done something unjust or dishonest is no justification for acting in a similar way.

Have a nice day and enjoy your work!
 
1. Abdul alikwenda kama nani?
2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini?
3. Mawaziri lukuki wa nini?
4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo

Pesa zimepondeka kisawasawa

HAPO HAPO TUNALIA
1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya kulipa
2. Mikopo kwa wanafunzi ni ya ubaguzi...eti hakuna hela
3. Hospitali hazina dawa
4. Kodi mbele na nyuma
5. Tozo lukuki
7. Giza kila mahali
8. Shule hazina madawati
9. Stahiki za wafanyakazi hazilipi, hasa waliostaafu

ongezeni mengine ya kuudhi!
Mfumo CCM jamani tuondokane nao!
 
You are stupid and miniature-minded.
Why are you stupid and a miniature creature? The saying goes thus: Two wrongs don't make a right ...........the fact that someone has done something unjust or dishonest is no justification for acting in a similar way.

Have a nice day and enjoy your work!
sasa wewe unatakaje?, hama nenda burundi
 
Back
Top Bottom