Rais Samia, watanzania wameudhika sana na Idadi/aina ya watu katika msafara wako India

Scratch your head how to eradicate povert usilaumu tu watu, wewe umewajibika jwa kiwango gani kuundoa huo umasikini
Nimekuuliza tu hso viongozi wakitolewa wote umasikini TZ utakuwa historia?
Kama shida ni viongozi , kwa nini nchi zilizoondoa viongozi wa chama tawala bado masikini? Mfano ni Nigeria kiongozi wa upinzani Buhari katawala miaka 8 sasa .
Mna jadili zaidi kwa mihemko hasa ya wanasiasa na wanaharakati.
Jadili scientifically, je ni kweli sababu ya umasikini wetu ni hao viongozi au chama tawala?
Hapo Kenya hawajakiondoa chama tawala na kuvadili katiba na kuwaondoa wale walidhani ni mafisadi ! Je Kenya ni nchi tajiri?
Kwa mtazamo wenu huo mtaendelea kujidanganya sana kuamini eti viongozi ndio chanzo cha umasikini wenu.
UMASIKINI NICOMPLEX TERM NA KUUNDOA SIO KWA MAJIBU RAHISI TU ETI MAFISADI NDIO WANAO SABABISHA.
Unataka kuniambia hizo pesa wanazoiba na kutumia ndio chanzo cha umasikini TZ.
Shida kubwa sana ninayoiona kwa sisi waafrika ni kutojipa homework ya kufikiri na kubeba majibu rahisi ya watu wengine, Hasa wanasiasa.
Uongozi bora unaweza changia tu asilimia fulani lakini sio chanzo kikuuu cha utajiri au umasikini hasa kwa mtu mmoja mmoja.
Kwa nini usiulaumu UJINGA KUWA NDIO CHANZO KIKUU CHA UMASIKINI.
BRo! Hata tuwe na Magufuri mia hakuna maendelro yataletwa na kiongozi bila urashi wa wananchi wa kawaida.
Ubapolaumu biobgozi tupia jicho na kwenye mtaa, kwenye grass root Je watu wana dhamira ya kuondokana na umasikini.
Niba uhakika hata ukiwekwa wewe mzalendo kywa kiongozi huwexi uonfoa yasikini uliopo kwa sisi wa watanzania. Watabzania wameanya unasikini uwe sehemu ya mrisga yao kwa vitenfo ba jwa fikra.
Zamani nilikuwa nalaumu kama wewe, siku hizi nayapima mambo kayika uhslisia wake.
Siungi mkono ufisadi ila siamini kuwa ufisadi ndio chanzo kikuu cha umasikini wetu, ufisadi huenda usifike hata 10% ya sababu ya umasikini wetu.
 
Hivi ni kwa nini kila anayekuja anakuwa the opposite of his/her predecessor?
 
Mtakufa kwa pressure kwa kujadili kila mnaloliona. Unajua maana ya state visit lakini???
 


Hao Watanzania inabidi waache ushamba ushamba na kuanza kujadili vitu vya maana. Huwezi kusema matatizo yetu kwasasa yanatokana wa mawaziri tisa ambao wameenda kujadili na ku sign mikataba tofauti ya uwekezaji.

Hivi mnafikiri hivyo vitu apo chini vitapatikana kwa kukaa magengeni au kuleta wawekezaji ambao ndiyo kodi ya kufanya haya mambo hapo! Hivi mnafikiri serikali inaokota pesa!!.

Matatizo yapo lakini kumekuwa na utamaduni wa kulalama vitu ambavyo havina uhusiano na ni majukumu yetu kukosoa mambo ya maana lakini kusema yale ambayo sio ya maana

Nyie ndiyo wa kwanza mnaosema katiba haina maana na kusubiri wakina Mbowe wawaletee katiba wakati nyie mna lalama vitu ambavyo havina msingi hapa

Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya kulipa
2. Mikopo kwa wanafunzi ni ya ubaguzi...eti hakuna hela
3. Hospitali hazina dawa
4. Kodi mbele na nyuma
5. Tozo lukuki
7. Giza kila mahali
8. Shule hazina madawati
9. Stahiki za wafanyakazi hazilipi, hasa waliostaafu
 
Bro.
Katika hili mnauonea Samia.
1. Kuna dhambi gani mama na mwana kutembea mbona hata Ulaya wanatembea na familia?

Hii ni roho mbaya ....hata mimi ni mpinzani 100% lakini hii hoja ni upumbavu mtupu.

2. Wasanii...umemuona nani huko???
3. Mawaziri, hili halikwepeki kwani kila Waziri ameenda kuwakkilosha wizara yake
 
 

Attachments

  • 72FE4CA9-25B3-418D-AE4C-1B471570580C.jpeg
    59.4 KB · Views: 1
Typing errors nyingi sana, mtoa mada ana hoja ya msingi sana, kunywa maji upumzike.
 
acha wivu by the way labda una point huenda hujapata stahiki za mafao yako maana naona wewe ni retired
 
pole sana aise umeandika kwa hisia kali sana hadi unakosea maneno ila usijali tumekuelewa una point kwa kweli
 
Steve Nyerere, Monalisa...
Mliingizwa mkenge, hiyo picha ya Steve na Monalisa sio kweli, Yeriko Nyerere alianzisha huo uvumi ameomba radhi, hiyo picha Steve na Monalissa walikuwa wakielekea Mwanza
 
Mambo mengine hayana tija tumuache mazeli apumue. Tumuhoji mambo ya msingi hasa hasa bandari zetu na katiba mpya.

Kibindi kile Obama alivyokuja na wanawe hapa Tanzania kwa nini hatukuhoji wamekuja kama akina nani?
Steve Nyerere anatoa points tupu hapa New Delhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…