Rais Samia, watanzania wameudhika sana na Idadi/aina ya watu katika msafara wako India

Rais Samia, watanzania wameudhika sana na Idadi/aina ya watu katika msafara wako India

1. Abdul alikwenda kama nani?
2. Wasanii na wengine wa aina hiyo walikwenda kufanya nini?
3. Mawaziri lukuki wa nini?
4. Na wengine wengi ambao hawana tija katika safari hiyo

Pesa zimepondeka kisawasawa

HAPO HAPO TUNALIA
1. Maiti za watanzania zinazuiwa hospitali kwa ndugu kukosa hela ya kulipa
2. Mikopo kwa wanafunzi ni ya ubaguzi...eti hakuna hela
3. Hospitali hazina dawa
4. Kodi mbele na nyuma
5. Tozo lukuki
7. Giza kila mahali
8. Shule hazina madawati
9. Stahiki za wafanyakazi hazilipi, hasa waliostaafu

ongezeni mengine ya kuudhi!
yaani samia linazurura huku na huko for nothing.Kweli zingwi zingwi mpe nguo umuone.
 
Back
Top Bottom