zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Sio siku ya maafa kweli au teknolojia inaongopa?Alisafiri kabla ya maafa kutokes
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio siku ya maafa kweli au teknolojia inaongopa?Alisafiri kabla ya maafa kutokes
Kwamba ni zaidi ya 50 au? Mana sisi hatujui wenzenu tunaskia tuWamefariki watu zaidi ya hao tunaojaribu kuaminishwa.
Raisi Tayyip Erdogan wa Turkey, alikatisha ziara yake nchini Russia. Alipokuwa anahudhuria BRICS Summit. Nchini kwake kulitokea shambulio la risasi katika kiwanda.
Unaweza kuona mtu anapoguswa na wananchi wake. Halafu kuna ambaye anaona bora awe sehemu nyingine kuliko kurudi kuwafariji, wafiwa na majeruhi na kuhimiza kwa karibu waokoaji. Kazi ya Raisi ni kama kiranja kwa wananchi.
Sana amekosa amaniMama amelia sana? Bantu Lady where you at mama?
50 ulikua unawahesabu wewe?Kwamba ni zaidi ya 50 au? Mana sisi hatujui wenzenu tunaskia tu
Pole sana mamaSana amekosa amani
Hili ndio tunaloliweza, kuokoa hapana, kusimamia hapana, ila kugharamia maziko sasa! HamjamboAidha ameongeza kuwa “Serikali itabeba gharama za matibabu kwa wote waliojeruhiwa, na kuhakikisha waliofariki wanastiriwa ipasavyo. Nitoe pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na tukio hili. Niwaombe watanzania wote tuwaweke kwenye maombi wote walioathirika na tukio hili na kuwaweka kwenye maombi waliotangulia mbele za haki.”
Jaribu kuelewa nimemuuliza nini hebu fatilia mdahalo huu50 ulikua unawahesabu wewe?
Sawa mama pole pole lakiniJaribu kuelewa nimemuuliza nini hebu fatilia mdahalo huu
DunianiWewe ulitaka isomeke kutokea wapi mkuu?
Kwani hapo wapi angani?Duniani
Huku ni machakaniKwani hapo wapi angani?
Wewe ulitaka aseme nini mkuu?Hili ndio tunaloliweza, kuokoa hapana, kusimamia hapana, ila kugharamia maziko sasa! Hamjambo
Subiri misiba haina siri.Kwamba ni zaidi ya 50 au? Mana sisi hatujui wenzenu tunaskia tu
Subiri misiba haina siri.
Wataumbuka tu na siasa wanazozileta.
Na kwa bahati mbaya wengi wako mochwari na hawana vitambulisho.Kwanini wasingekua wanasema kweli mana wengine huwezi jua hawana hata ndugu anaejua kama mtu yuko huko
Tena mipumbavu kweli, mingine imeshajitokeza na vimaswalo vyao vya kisingo eti 'kwani uko wapi mama?'Kuna wale wapumbavu wanadhani Samia akisafiri basi na Urais umesafiri 😂😂
We pimbi kwani waliopatwa na msiba ni CHADEMA tu?Tena mipumbavu kweli, mingine imeshajitokeza na vimaswalo vyao vya kisingo eti 'kwani uko wapi mama?'
Aisee chadema wameishiwa......
ameendaKuna wale wapumbavu wanadhani Samia akisafiri basi na Urais umesafiri 😂😂