Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

Rais Samia: Watu 13 wamefariki kwenye jengo lililoporomoka Kariakoo. Serikali kugharamia matibabu ya majeruhi na kuhakikisha waliofariki wanasitiriwa

Raisi Tayyip Erdogan wa Turkey, alikatisha ziara yake nchini Russia. Alipokuwa anahudhuria BRICS Summit. Nchini kwake kulitokea shambulio la risasi katika kiwanda.

Unaweza kuona mtu anapoguswa na wananchi wake. Halafu kuna ambaye anaona bora awe sehemu nyingine kuliko kurudi kuwafariji, wafiwa na majeruhi na kuhimiza kwa karibu waokoaji. Kazi ya Raisi ni kama kiranja kwa wananchi.

Mjue kutofautisha aina ya disasters na jukumu la serikali kwa kila aina ya disaster
 
Aidha ameongeza kuwa “Serikali itabeba gharama za matibabu kwa wote waliojeruhiwa, na kuhakikisha waliofariki wanastiriwa ipasavyo. Nitoe pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioguswa na tukio hili. Niwaombe watanzania wote tuwaweke kwenye maombi wote walioathirika na tukio hili na kuwaweka kwenye maombi waliotangulia mbele za haki.”
Hili ndio tunaloliweza, kuokoa hapana, kusimamia hapana, ila kugharamia maziko sasa! Hamjambo
 
Back
Top Bottom