Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nasema hivi mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndiye Rais Hadi 2030, watanzania tumeridhishwa na utendaji kazi wake uliotukuka na uliogusa maisha yetu watanzania kwa kutupatia matumaini mengi ya kuinuka kiuchumi, kazi yetu Ni Kuendelea kumuombea mh Rais wetu mpendwa ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzaniaWambie UKWELI makada wenzio, kwenye comment zingine unasema she is one term!!!!
Hakika umesema kweliNaona exposure inawaponza wasaidizi wa Rais, Rais anataka kila mteule wake afanye vile anavyotaka yeye hata kama hana ujuzi wa jambo husika, hii sio sawa, anakosea.
Mulamula alikuwa na exposure na mambo ya nje toka enzi za JK, na hiyo exposure yake naamini ndio iliyochangia Rais kumpa kile cheo, leo iweje amuondoe yule aliyegoma kuburuzwa kwenye jambo alilo na experience nalo? lililofanya akaaminiwa na kupewa kazi? Rais hajui anachofanya.
Kuwa na wasaidizi maana yake ni kumsaidia Rais, na sio tu kufanya kazi wanazopangiwa, bali hata kwa ushauri pia, hii kauli aliyoitoa Rais itazidi kuzalisha chawa wengi zaidi, wajinga, jeuri, na viburi.
Matokeo yake kina Mwigulu wanazidi kutuburuza na tozo, huku Makamba na Nape nao na kauli zao za hovyo; yeye anataka jambo lolote wakishakaa na kukubaliana lisipingwe, hata kama litakuwa linawaumiza wananchi.
Awaache wenye uzoefu wamsaidie, unaweza kuwa na kundi kubwa la wajinga wasiojua chochote kasoro mmoja wao, na kiongozi mzuri anatakiwa kumtambua huyo mmoja.
Hata Chalamila aliomba kujiuzulu wakamkatalia akaanza vituko maksud kulazimisha kutemwa kipindi kile aliamishiwa mwanza hatimaye wakaamua tu aende. Lakini wamemrudisha.
Hawez kubak paleHuyu mama akilazimisha kubakia madarakani hiyo 2025, basi mchele utauzwa elfu 6 kwa kilo! Na mafuta ya petrol na dizeli lita itakuwa elfu 6 pia! Vifaa vya ujenzi ndiyo kabisaa!! Vitaendelea kupanda mara dufu.
Nitafurahi kama atakaa pembeni.
Angesema amejiuzuluUnajuaje kama hajajiuzulu?
Mama anaupiga mwingi. Mitano tena kwa mamaAliye kinyume chetu hayupo upande wetu
Tumemuelewa rais
Tulia wewe. Tuna imani na mama hadi 2035 apige 10 zake za kikatiba hizi 5 anazomalizia za jpm hatuzihesabuHuyu mama akilazimisha kubakia madarakani hiyo 2025, basi mchele utauzwa elfu 6 kwa kilo! Na mafuta ya petrol na dizeli lita itakuwa elfu 6 pia! Vifaa vya ujenzi ndiyo kabisaa!! Vitaendelea kupanda mara dufu.
Nitafurahi kama atakaa pembeni.
Huyu anaishia 2025 anarudi kwao visiwani.Nasema hivi mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndiye Rais Hadi 2030, watanzania tumeridhishwa na utendaji kazi wake uliotukuka na uliogusa maisha yetu watanzania kwa kutupatia matumaini mengi ya kuinuka kiuchumi, kazi yetu Ni Kuendelea kumuombea mh Rais wetu mpendwa ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia watanzania
Sema waingereza,ukisema wazungu unamaanisha mpaka watalianoNi kweli
Wazungu wanaita Collective Responsibility
Mna stahili kabisa kuwa na imani naye!Tulia wewe. Tuna imani na mama hadi 2035 apige 10 zake za kikatiba hizi 5 anazomalizia za jpm hatuzihesabu
Rais Samia akiwaapisha mawaziri leo, Oktoba 3 amesema waziri hatakiwi kusema hakubaliani na maamuzi ya Serikali au kusema kuwa nimeelekezwa hivi ila sikubaliani. Hatakiwi kujitoa bali kuwa sehemu ya maamuzi.
Sijui ni waziri gani aliyesema haya ni maamuzi ya Serikali sio yangu?
Rais ni taasisi,hasa na idara za usalama wa taifa,kwamba kote huko hakuna mwenye uzoefu na exposure kumzidi mulamula!!!..ushauri si sharti ukubaliwe,na Waziri hapaswi kuwa kinyume na baraza la mawaziri hadharaniNaona exposure inawaponza wasaidizi wa Rais, Rais anataka kila mteule wake afanye vile anavyotaka yeye hata kama hana ujuzi wa jambo husika, hii sio sawa, anakosea.
Mulamula alikuwa na exposure na mambo ya nje toka enzi za JK, na hiyo exposure yake naamini ndio iliyochangia Rais kumpa kile cheo, leo iweje amuondoe yule aliyegoma kuburuzwa kwenye jambo alilo na experience nalo? lililofanya akaaminiwa na kupewa kazi? Rais hajui anachofanya.
Kuwa na wasaidizi maana yake ni kumsaidia Rais, na sio tu kufanya kazi wanazopangiwa, bali hata kwa ushauri pia, hii kauli aliyoitoa Rais itazidi kuzalisha chawa wengi zaidi, wajinga, majeuri, na viburi.
Matokeo yake kina Mwigulu wanazidi kutuburuza na tozo, huku Makamba na Nape na kauli zao za hovyo kila wakati; yeye anataka jambo lolote wakishakaa na kukubaliana serikalini lisipingwe, vyema atambue hata wajinga huwa wana maamuzi yao yasipoangaliwa mapema yatatuumiza.
Awaache wenye uzoefu wamsaidie, unaweza kuwa na kundi kubwa la wajinga wasiojua chochote kasoro mmoja wao, na kiongozi mzuri anatakiwa kumtambua huyo mmoja.
Ndio maana Mwigulu hataondolewa anasimamia walichokubaliana
Mfumuko wa Bei ni global...tozo lipa tu,tunahitaji madarasa,elimu bure,jnhep,sgr,kuajiri,barabara,ruzuku kilimo...huko ndiyo kunaitwa kujenga nchi,huwezi kung'oa vyuma darajani Kama unajua lilijengwa kwa tozoMna stahili kabisa kuwa na imani naye!
Maana kwa huu mfumuko wa bei na hii mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu! Aisee Mwenyezi Mungu anijalie tu uzima ili nishuhudie huo uchaguzi mkuu ujao wa 2025.
Thibitisha mwigulu ni mwizi...hatuwezi wote kula keki ya taifa kwa usawa...vumilia tu,chuki huulawiti moyo wa anayeihifadhiMwigulu simply ni mwizi …anajua mwenyewe alikokamatia …lakini itambidi mama aje tu afanye maamuzi maguumu …anamkumbatia mtu atakayemgharimu
Kabla ya hili suala la mama mulamula au tuite dharura ,….fununu kwenye corridors ilikuwa Mwigulu anaondoka fedha kwenda Tawala za Mikoa ….halafu Inno anatoswa ….nadhani huko tawala za mikoa ndio angepiga kampeni hadi watu wakome
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kairuki ndani!
Sukuma gang inazidi kutamba!
Mama anachuki na Mulamula
Hahahaha kwani ameacha tena kuiponya nchi?Tulia wewe. Tuna imani na mama hadi 2035 apige 10 zake za kikatiba hizi 5 anazomalizia za jpm hatuzihesabu
Kwani ameacha kuiponya nchi?Mna stahili kabisa kuwa na imani naye!
Maana kwa huu mfumuko wa bei na hii mitozo yenu isiyo na kichwa wala miguu! Aisee Mwenyezi Mungu anijalie tu uzima ili nishuhudie huo uchaguzi mkuu ujao wa 2025.