ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Wakunya wanaonuka shida Hadi matakoni mbona hawamchambui failed Nabii wao? 😆😆😆😆Wakenya kupitia KOT ( Kenyans On Twitter ) Siku hizi Mtandao wa X wanatusaidia Kumdharau kwa Niaba yetu na wanamchambua vilivyo huko sijui kama Wasaidizi wake huwa wanamuonyesha.
Wewe nae kwa kujiondoa ufahamu? Ulitaka afanye maajabu gani Kwa mwezi mmoja na na nusu aliokaa madarakani?Angefanya nini? Kama alishakuwa katibu mkuu kiongozi na hakuna jipya alilofanya sasa ndio atafanya nini?
Sasa atafanya maajabu gani kama kashindwa kufanya chochote zaidi ya kutoa yale majicho na kuongea huku anatema mate kwenye huo mwezi mmoja aliokuwa madarakani. Hujui kiongozi mwenye maono ndani ya wiki anakuwa ameshajitambukisha na kutambulisha maono yake kwenye jamii/taasisi anayoisimamia? Mnamkuza tu hana mpya au mtusi mwenzio nini? Hata apewe uongozi milele atakuwa tu kama Rais Bongo aliyepinduliwa.Wewe nae kwa kujiondoa ufahamu? Ulitaka afanye maajabu gani Kwa mwezi mmoja na na nusu aliokaa madarakani?
Huyu ndiye alifanya mikataba ya Loliondo na Ngorongoro au majina yanachanganya na yule mkwewe SamiaRais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.
“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
Nani kakwambia watanzania wanaelewaga kitu?raia walikua wanaeshimu mamlaka na kuziamini,ila kwasasa wanaona n mzaa mzaa tu
sasa suala la bandari ambalo limewagusa wengi mkuu wetu anatoa majibu eti kaamua kukaa kmya si aseme mchakato ulikuaje ili watu waelewe
sasa nimeamini anapokea maelekezo ili kutekeleza majukumu yake
Uadilifu wa Rais wetu hauna mashaka hata kidogo.Utalii amefanya nini zaidi ya kuuza mbuga zetu. Naona warabu wamempa pesa nzuri samia ndo mana anamsifu mkwewe
masikini tanganyika yanguRais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.
-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele zikawa nyingi, nikasema labda waziri wangu kazidi kapandisha mabega nimpeleke michezo, kaenda michezo kazi aliyoifanya mmeiona, kaacha kazi nzuri sana, katoka michezo nimempeleka utalii, mipango aliyoiweka sekta ile unayeenda ukienda ukafuata yaliyowekwa utalii unakwenda kupanda"- Rais Dkt.
My Take
Wacha tusubirie yetu macho,binafsi najua sifa ya Mchengerwa ni kujali watu wa chini zaidi.
“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
Word...Mkwe anakuwaje na kazi mbovu?
Aseme anampenda sababu ya kumuoa binti yake, hata akivurunda atamsifia tuRais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.
-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele zikawa nyingi, nikasema labda waziri wangu kazidi kapandisha mabega nimpeleke michezo, kaenda michezo kazi aliyoifanya mmeiona, kaacha kazi nzuri sana, katoka michezo nimempeleka utalii, mipango aliyoiweka sekta ile unayeenda ukienda ukafuata yaliyowekwa utalii unakwenda kupanda"- Rais Dkt.
My Take
Wacha tusubirie yetu macho,binafsi najua sifa ya Mchengerwa ni kujali watu wa chini zaidi.
“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
mke wa mwana amefanya kazi nzuri...halafu ana kifuaRais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.
-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele zikawa nyingi, nikasema labda waziri wangu kazidi kapandisha mabega nimpeleke michezo, kaenda michezo kazi aliyoifanya mmeiona, kaacha kazi nzuri sana, katoka michezo nimempeleka utalii, mipango aliyoiweka sekta ile unayeenda ukienda ukafuata yaliyowekwa utalii unakwenda kupanda"- Rais Dkt.
My Take
Wacha tusubirie yetu macho,binafsi najua sifa ya Mchengerwa ni kujali watu wa chini zaidi.
“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
Kwani wewe ndugu yako akiwa mbovu utamsifia.na kumteua kisa mna undugu? Acha wivu na hakuna ubaya ndugu kupata nafasi Kwa merit.Aseme anampenda sababu ya kumuoa binti yake, hata akivurunda atamsifia tu
Huyo ndio alikuwepo enzi za Mwinyi?Huyu ndiye alifanya mikataba ya Loliondo na Ngorongoro au majina yanachanganya na yule mkwewe Samia
Waziri Mchengerwa , Mama Abdul na Abdul wana undugu?Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.
-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele zikawa nyingi, nikasema labda waziri wangu kazidi kapandisha mabega nimpeleke michezo, kaenda michezo kazi aliyoifanya mmeiona, kaacha kazi nzuri sana, katoka michezo nimempeleka utalii, mipango aliyoiweka sekta ile unayeenda ukienda ukafuata yaliyowekwa utalii unakwenda kupanda"- Rais Dkt.
My Take
Wacha tusubirie yetu macho,binafsi najua sifa ya Mchengerwa ni kujali watu wa chini zaidi.
“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
Ukimsikia mtu anasema wivu kila mara jua ni mswahili wa pwani, huna haja ya kujibizana nayeKwani wewe ndugu yako akiwa mbovu utamsifia.na kumteua kisa mna undugu? Acha wivu na hakuna ubaya ndugu kupata nafasi Kwa merit.