Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

Wakenya kupitia KOT ( Kenyans On Twitter ) Siku hizi Mtandao wa X wanatusaidia Kumdharau kwa Niaba yetu na wanamchambua vilivyo huko sijui kama Wasaidizi wake huwa wanamuonyesha.
Wakunya wanaonuka shida Hadi matakoni mbona hawamchambui failed Nabii wao? 😆😆😆😆

Kwa taarifa Yao tuu walitegemea slope Kwa Sasa haipo mama kawakazia kwenye mazao ya Kilimo wanatokwa na mapovu huko

View: https://twitter.com/thebizwiztz/status/1691407795696943104?t=4OZNBl6nv2xp0lr-FHQLvQ&s=19
 
Wewe nae kwa kujiondoa ufahamu? Ulitaka afanye maajabu gani Kwa mwezi mmoja na na nusu aliokaa madarakani?
Sasa atafanya maajabu gani kama kashindwa kufanya chochote zaidi ya kutoa yale majicho na kuongea huku anatema mate kwenye huo mwezi mmoja aliokuwa madarakani. Hujui kiongozi mwenye maono ndani ya wiki anakuwa ameshajitambukisha na kutambulisha maono yake kwenye jamii/taasisi anayoisimamia? Mnamkuza tu hana mpya au mtusi mwenzio nini? Hata apewe uongozi milele atakuwa tu kama Rais Bongo aliyepinduliwa.
 
Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.

“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
Huyu ndiye alifanya mikataba ya Loliondo na Ngorongoro au majina yanachanganya na yule mkwewe Samia
 
Kwa hiyo kapelekwa huko kuhakikisha lichama letu linaibjka kidedea na 2025 anamalizia kazi. Oh mama na ngaiiiiii.
Waziri gani kaliweza hili lidudu linaitwa. Kama si ubishi wa ccm lingepasuliwa na kuundwa majimbo. Tamisemi ingeyeyuka na "mawaziri" wa majimbo wange shughulikia yalio chini ya tamisemi.
 
raia walikua wanaeshimu mamlaka na kuziamini,ila kwasasa wanaona n mzaa mzaa tu
sasa suala la bandari ambalo limewagusa wengi mkuu wetu anatoa majibu eti kaamua kukaa kmya si aseme mchakato ulikuaje ili watu waelewe

sasa nimeamini anapokea maelekezo ili kutekeleza majukumu yake
Nani kakwambia watanzania wanaelewaga kitu?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Leo hii tarehe 1/9/2023 wakati akiwaapisha mawaziri walio teuliwa Rais wetu mpendwa Dkt Samia alimpongeza Waziri wa Tamisemi mhe. Mhengerwa kwa ufanisi na bidii ya kazi aliyo ionyesha katika wizara zote alizo wahi kutumikia kama ifuatavyo;

1. Wizara ya utumishi, hapa inakumbukwa kuwa waziri mchengerwa alipambania sana haki za watumishi na kupelekea mambo mbalimbali kutekelezwa.

2. Michezo

3. Utalii

Wizara zote hizo mchengerwa alifanya bidii na mageuzi makubwa.

Sisi wananchi tunampe hongera nyingi waziri mchengerwa, hakika anajituma bila woga. Kuna baadhi ya mawaziri kwakweli wanachapa kazi inaonekana, akiwemo wizara ya maji, kilimo, fedha, Elimu, Afya, Madini, Habari, mazingira, hizi wizara lwakweli zimepata wapambanaji.

Pongezi kwa wale wote wanao fanya kazi kwa kujituma na maarifa.
 
Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.

-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele zikawa nyingi, nikasema labda waziri wangu kazidi kapandisha mabega nimpeleke michezo, kaenda michezo kazi aliyoifanya mmeiona, kaacha kazi nzuri sana, katoka michezo nimempeleka utalii, mipango aliyoiweka sekta ile unayeenda ukienda ukafuata yaliyowekwa utalii unakwenda kupanda"- Rais Dkt.

My Take
Wacha tusubirie yetu macho,binafsi najua sifa ya Mchengerwa ni kujali watu wa chini zaidi.

“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
masikini tanganyika yangu
 
Aseme anampenda sababu ya kumuoa binti yake, hata akivurunda atamsifia tu
 
mke wa mwana amefanya kazi nzuri...halafu ana kifua
 
Aseme anampenda sababu ya kumuoa binti yake, hata akivurunda atamsifia tu
Kwani wewe ndugu yako akiwa mbovu utamsifia.na kumteua kisa mna undugu? Acha wivu na hakuna ubaya ndugu kupata nafasi Kwa merit.
 
Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.

-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele zikawa nyingi, nikasema labda waziri wangu kazidi kapandisha mabega nimpeleke michezo, kaenda michezo kazi aliyoifanya mmeiona, kaacha kazi nzuri sana, katoka michezo nimempeleka utalii, mipango aliyoiweka sekta ile unayeenda ukienda ukafuata yaliyowekwa utalii unakwenda kupanda"- Rais Dkt.

My Take
Wacha tusubirie yetu macho,binafsi najua sifa ya Mchengerwa ni kujali watu wa chini zaidi.

“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
Waziri Mchengerwa , Mama Abdul na Abdul wana undugu?
 
kivumbi cha DIPI WEDI..... 😀 😀 😀
 
Kwani wewe ndugu yako akiwa mbovu utamsifia.na kumteua kisa mna undugu? Acha wivu na hakuna ubaya ndugu kupata nafasi Kwa merit.
Ukimsikia mtu anasema wivu kila mara jua ni mswahili wa pwani, huna haja ya kujibizana naye
 
Back
Top Bottom