Rais Samia: Waziri Mchengerwa amefanya kazi nzuri sana, sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi

Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.

-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele zikawa nyingi, nikasema labda waziri wangu kazidi kapandisha mabega nimpeleke michezo, kaenda michezo kazi aliyoifanya mmeiona, kaacha kazi nzuri sana, katoka michezo nimempeleka utalii, mipango aliyoiweka sekta ile unayeenda ukienda ukafuata yaliyowekwa utalii unakwenda kupanda"- Rais Dkt.

My Take
Wacha tusubirie yetu macho,binafsi najua sifa ya Mchengerwa ni kujali watu wa chini zaidi.

“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
hii nchi kuna wakati tunaishi kiswahili swahili sana. kama tunafanya masihara vile.
 
Anaye mfahamu Neva Joel na Gabriel mwaipu

Tamisemi ni nani maana Dah kwenye harakati za kupambana imekutana nao facebook neva Joel kanipa namba ya Gabriel mwaipu ...na wame jiandika wako TAMISEMI ...sasa Gabriel anataka nitume pesa je nikwel wapo wanaweza nisaidia au napigwa
 
Watumie tu

Utajuwa badaye

Ova
 
Rais Samia amemsifu Waziri Mchengerwa kwamba kafanya kazi nzuri sana kwenye Wizara alizopita ndio maana amemhamishia Tamisemi Ili akasimamie kivumbi Cha mwakani yaani uchaguzi wa Serikali za mitaa kwani anajua anaweza.

-
"Kwa mfano Mchengerwa nilipompeleka utumishi mwanzo kaingia na kasi kelele zikawa nyingi, nikasema labda waziri wangu kazidi kapandisha mabega nimpeleke michezo, kaenda michezo kazi aliyoifanya mmeiona, kaacha kazi nzuri sana, katoka michezo nimempeleka utalii, mipango aliyoiweka sekta ile unayeenda ukienda ukafuata yaliyowekwa utalii unakwenda kupanda"- Rais Dkt.

My Take
Wacha tusubirie yetu macho,binafsi najua sifa ya Mchengerwa ni kujali watu wa chini zaidi.

“Mchengerwa sasa nimempeleka TAMISEMI mwakani kuna Kivumbi na mimi nakujua najua unaweza, Kivumbi kile kinafanana na kifua chako najua unaweza, kwahiyo nimekupeleka TAMISEMI ni kazi kazi,” Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza leo, Septemba 1, 2023 Ikulu ndogo Zanzibar baada ya shughuli ya uapisho wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
Uchaguzi wa serikali za mitaa ulizikwa rasmi hapa
 
Back
Top Bottom