Rais Samia: Wenye akili za kawaida ndiyo wananikosoa kusafiri nje

Who is Magu? Alifuatwa na nani? Taja hapa waliomfuata na kumpa pesa Magu..

Mwisho usilinganishe failure kama Magu na Samia,rekodi alizogikia SSH kwa Mwaka mmja hakuna layman yeyote mwenye akili average wamewahi kufikia..👇
 

Attachments

  • 20220702_104205.jpg
    309.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220704-115146.png
    116 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220704-115226.png
    43.2 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220704-115441.png
    60.4 KB · Views: 6
Viongozi wa Afrika hawajawahi acha kuwa vibaraka wa wazungu
 
Wacha mama asafiri akalete mpunga, lakini safari za kwenda Uarabuni kukazia uuzwaji wa Loliondo kwa kampuni ya mwarabu ya OBC hatutaki
Huo mpunga upo tu kwa ajili ya kupewa yeye?
Tatizo kubwa la nchi zetu hizi ni kupenda vya burebure. Ndio maana vijana mmegeuka kuwa chawa
 

Huyu mzanzibar is the reflection ya wenye akili za kawaida, hivi anadhani watu hatujui akienda nje anafuata nini? Does she wants to tell us that, that part of SGR is financed by Oman entities?
Kwa uchumi wa sasa hivi, there is no free lunch. It is win win kind of business, hakuna kupiga magoti kwa mtu. Ni nipe nikupe something that can be done by our ambassadørs, ndio maana tunawapeleka nje, hawapelekwi nje ili washinde kwenye ma-salon na kwenye mabaa
Now I see where this is coming from; this habit of saying: asante Mama kwa kutoa pesa kwa ajili ya kitu fulani na fulani imekutoa kwenye reli. You think you are financing all projects by your own funds? Hii ni hela yetu ya kodi, you have been placed there to supervise rightful usage of our money and you are paid for this.
Utashangaa, Waziri akipewa dakika moja ya kuongea chochote, you have your name mentioned more than three times!!!!!
Nakukubali nikikulinganisha na yule mfu. Lakini usitoke kwenye reli and dont allow your ministers to adress you like without you,they cannot use their brains to perform their duties.
 
kapata connection ya Kurusha ATCL America,France na China.. halafu? Wewe ni mchumia tumbo
 
Afute tozo za miamala si anapata pesa kutokanje ya nchi, maisha ni magumu halafu anatuletea hizo
 
Atume mawaziri na wawakilishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio gia ya kumuita mtu aje akusugue kovu alilokuachia mwendazake?
Mwendazake hakua na nguvu za kumwachia mtu kovu... ukimwi ulishaitwaa taji yake.
 
Mpaka nisikie mwenyewe....! Hamchelewi kumlisha maneno!
 
Wa kilimani chato alikubutua akakuachia kilema!

[emoji23][emoji23][emoji23]Nilishaga kwambia ili kilema hicho kipone njoo tukusaidie kukulea ili usiwe unamtaja taja hovyo hataka kama uzi haumhusu
We ambae hata samsung s9 inakushinda utamuweza nani?
 
Who is Magu? Alifuatwa na nani? Taja hapa waliomfuata na kumpa pesa Magu..

Mwisho usilinganishe failure kama Magu na Samia,rekodi alizogikia SSH kwa Mwaka mmja hakuna layman yeyote mwenye akili average wamewahi kufikia..👇
Usiliie huyo sio mama ako anawanawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…