Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kodi yote anakula silent ocean, halafu mnaanza kukuletea maneno ya kejeli, hiyo barabara ya dar mza imejaa matuta matupu, maroli kilasiku yanatoboa boostersWana ka msemo kao kuwa ukiwatoza Kodi MATAJIRI unavuruga Uchumi wa Nchi.
Eti maskini ndo HAKI kulipishwa mikopo iliyokopwa wakapewa MATAJIRI kuinua Uchumi!!!!
Mbona Nchi za MABEBERU matajiri na maskini wanalipa Kodi na wanajivunia kulipa Kodi?
Vituo vya mafuta nw hawatoi tena risiti za EFD.
Ukigusa makontena ya wakubwa bandarini unatumbuliwa.
Hivi sie ni WAJAMAA Uchwara au Mabepari Uchwara?
Total misconception !!"Wenye uwezo wa Kawaida wa Kufikiri ( Nadhani akina GENTAMYCINE ) wanasema kuwa ninasafiri sana Nje ya nchi. Ukweli ni kwamba nikisafiri Mikoani nakuza tu Siasa za Ndani ila nikienda huko Ulaya naenda Kuwaletea Pesa kama hizi"
Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kufanya Ziara za Mikoani kwa Rais wa Tanzania ni kuitia tu Njaa nchi na kuendeleza Umasikini ila kumbe ukienda Ulaya unaenda Kuchota Fedha za Watanzania Masikini walizozihifadhi kwa Wazungu.
Halafu Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kura nyingi tunazowapeni pale mkigombea Urais ni za kuwatumeni tu Kuzurula Ulaya kuomba Pesa na kwamba Shida za Watanzania Masikini wengi tutakuwa tunazimaliza Wenyewe na 'Miungu' yetu tunayoiomba na Maombi ya akina Mitume Mwamposa na Kuhani Richard Mwacha.
Sawa Mama Safiri ukatuletee Fedha.
Ni vya umma au?!Mulisema mnakusanya bil 60, kwa mwezi, hivyo vyoo viko wapi?
Unazidi kudhihirisha jinsi ulivyo na akili ndogo kama alivyosema SSH.."Wenye uwezo wa Kawaida wa Kufikiri ( Nadhani akina GENTAMYCINE ) wanasema kuwa ninasafiri sana Nje ya nchi. Ukweli ni kwamba nikisafiri Mikoani nakuza tu Siasa za Ndani ila nikienda huko Ulaya naenda Kuwaletea Pesa kama hizi"
Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kufanya Ziara za Mikoani kwa Rais wa Tanzania ni kuitia tu Njaa nchi na kuendeleza Umasikini ila kumbe ukienda Ulaya unaenda Kuchota Fedha za Watanzania Masikini walizozihifadhi kwa Wazungu.
Halafu Rais Samia Mwanao GENTAMYCINE nilikuwa sijui kuwa kumbe Kura nyingi tunazowapeni pale mkigombea Urais ni za kuwatumeni tu Kuzurula Ulaya kuomba Pesa na kwamba Shida za Watanzania Masikini wengi tutakuwa tunazimaliza Wenyewe na 'Miungu' yetu tunayoiomba na Maombi ya akina Mitume Mwamposa na Kuhani Richard Mwacha.
Sawa Mama Safiri ukatuletee Fedha.
lakini ulishaanza na umekamilika kwa asilimia kubwa sana kama sioa silimia 90... maana mpaka wanafanya testing. hata ndugai alikuwa anajua hali halisi ya miradi kuwa haiitaji kukopa kopa kila siku
Wao wananchi wao ni wazalishaji na wanaweza kulipa kodi kubwa, wana mitaji ya kuwekeza nchi nyingineUmeulizwa pale juu huko anakoenda kuchukua pesa... Wao huwa wanazitoa kwa kwenda nchi gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndio huelewiHuenda huelewi au unafanya makusudi. Hebu soma hii comment yako vizuri tena
Kwa akili yako kodi za nchi hii zinalipwa na watu gani? Machinga na mama nitilie? Bodaboda? Au wakulima huko vijijini?Wana ka msemo kao kuwa ukiwatoza Kodi MATAJIRI unavuruga Uchumi wa Nchi.
Eti maskini ndo HAKI kulipishwa mikopo iliyokopwa wakapewa MATAJIRI kuinua Uchumi!!!!
Mbona Nchi za MABEBERU matajiri na maskini wanalipa Kodi na wanajivunia kulipa Kodi?
Vituo vya mafuta nw hawatoi tena risiti za EFD.
Ukigusa makontena ya wakubwa bandarini unatumbuliwa.
Hivi sie ni WAJAMAA Uchwara au Mabepari Uchwara?
Hamia Kenya kuna nafuuVitu vimepanda Sana bei na bei haina thamani, enzi za magu pesa ilikuwa na thamani japo haikupatikana
Kama wapi? Utalii hatupati kodi na fedha za kigeni? Madini hatupati kodi na mirabaha, kuwa wanachimba bure? Uvuvi hatupati mapato? Japo ni madogo sababu hakuna uwekezaji..
Madini inachangia 7% tu ya GDP yetu, Botswana wao madini 35% ya GDP. Alafu sisi tunawazidi Botswana kwa uzalishaji madini.Wewe ndio huelewi
Madini inachangia 7% tu ya GDP yetu, Botswana wao madini 35% ya GDP. Alafu sisi tunawazidi Botswana kwa uzalishaji madini.
Ingekua hata 20% au 30%, leo hii GDP yetu ingekua sawa au zaidi ya kenya
Hii ni justification ya tunachopata tunastahili?..Watz tuko milioni 50++.
..Botswana wako milioni 2 [ sina uhakika].
..kutokana na idadi yao ndogo lazima Botswana watafaidi zaidi madini yao kulinganisha na Tz.
..Hata ukiangalia mafuta ya Nigeria vs ya nchi za Kiarabu.
..Ni kweli kuna rushwa na ubadhirifu Nigeria, lakini kwa idadi kubwa ya watu wao sio rahisi kuona manufaa ya mafuta ukilinganisha na Saudia, Kuwait, etc.
..Kwa hapa Tanzania hatuwezi kuwakwepa WAKULIMA kama tunataka kujikwamua kiuchumi.
Huo uwingi Wenu usio na faida mlilazimishwa mzaane hovyo kama Sungura na Panya wakati mkijua hamna Akili?..Watz tuko milioni 50++.
..Botswana wako milioni 2 [ sina uhakika].
..kutokana na idadi yao ndogo lazima Botswana watafaidi zaidi madini yao kulinganisha na Tz.
..Hata ukiangalia mafuta ya Nigeria vs ya nchi za Kiarabu.
..Ni kweli kuna rushwa na ubadhirifu Nigeria, lakini kwa idadi kubwa ya watu wao sio rahisi kuona manufaa ya mafuta ukilinganisha na Saudia, Kuwait, etc.
..Kwa hapa Tanzania hatuwezi kuwakwepa WAKULIMA kama tunataka kujikwamua kiuchumi.
Na watakaobakia je,Hamia Kenya kuna nafuu
Hama nchiMama msanii sana halafu ni mtu wa mipasho
Hawakutegemea Samia awe rais na hatukuona rais akifariki madarakani tangu uhuru hivyo maneno mengi wanayoongea ni kuchanganyikiwa.Rais lazima atengeneze deals zitakazoiingizia nchi mapato, iwe ni deal za biashara na uwekezaji, au mikopo ama misaada
Sio jambo la kuficha kuwa nchi yetu ni maskini, wananchi wazawa hatuna mitaji ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa, uwezo wetu wa kulipa kodi pia ni mdogo
Kufanya zuara za mikoani tu utaishia kuambiwa tuna shida ya maji, barabara, hospitali n.k lakini fedha hakuna, utatatua vipi hizo shida?
Magufuli yeye alikuwa akikopa mikopo kutoka benki za kibiashara, ambayo riba ni kubwa na muda wa kulipa ni mfupi, so unataka Samia afabya hivyo?
Wewe unaenlaumu Samia wewe mchango wako ni upi kuhakikisha nchi inajitegemea kwenye mapato hasa ya kufanya miradi mikubwa? Kulalamikia kodi na tozo?
Mkuu unajua GDP ya Botswana ni ngapi? Ni 15 Bilion USD, Tanzania ni 62 Bilioni USD,Madini inachangia 7% tu ya GDP yetu, Botswana wao madini 35% ya GDP. Alafu sisi tunawazidi Botswana kwa uzalishaji madini.
Ingekua hata 20% au 30%, leo hii GDP yetu ingekua sawa au zaidi ya kenya