pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Mleta mada nahisi akili zitakuja ukiwa kaburini na sio hapa duniani!
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha upumbavu wako

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali je walihamishwa kuja dar? ama wamekuja wao kwa mapenzi yao..... kama ww ulivyo toka tanga ukaenda mbeya?Hili ulilo lisema hapa halina maana apo Dsm wapo watu kibao na hawana asili ya hapo Mimi nipo mbeya naishi .vyedi tu ila nilitokea Tanga
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Kwa taarifa yako, kila raia wa nchi hii ni special kwa mujibu wa katiba ya nchi, pamoja na haki za binadamu kujali tofauti za kidini,kikabila, kijinsia au kipato.Wamasai sio special! Kelele za wapinzani Raisi zisikutoe kwenye reli.
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Ardhi yao kivipi? Walioondolewa kimara je?Wamasai wanafukuzwa kwenye ardhi yao kwa sababu ya maslahi ya watu.
Hivi wanaoiba huko serikalini mbona hamuwafukuzi kwenye nafasi zao kwa ajili ya maslahi ya wananchi?
Unafiki, unafiki, unafiki.
Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Usichokijua, bibi yule hana maamuzi. Wenye maamuzi ni wengineKama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?

Ngoro Ngoro imekuwapo tokea kuanzia Kwa Dunia,hao wamasai ni kama mtoto kautaaa,mtoto kautaaa ..mtoto kautaaa.Kwani hao wamasai na hiyo ngorongoro national park kipi kilianza?
Kwa faida ya cc vijana wa 2000
Unajidanganya .Subiri uchaguzi uishe. Tutaendelea tulipo ishia
Mkuu sijakuelewa kuna neno ngorongoro najua ilikuwepo tangu dunia kuanza. Ila kuna kitu kinaitwa ngorongoro national park na wamasi nn kilianza apoNgoro Ngoro imekuwapo tokea kuanzia Kwa Dunia,hao wamasai ni kama mtoto kautaaa,mtoto kautaaa ..mtoto kautaaa.
Nikuulize swali,Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi?
Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio kujitangaza.
Wamasai sio special katika taifa hili. Jamii ya Wawanji waliokuwa wakiishi kwenye hifadhi ya Kitulo kabla ya kuwa National Park waliondolewa kwenye hifadhi mara tu baada ya Kitulo kuwa hifadhi ya Taifa.
Miaka 100 mbele kwa kasi ya Wamasai kuzaliana kutakuwa na uhifafhi tena Ngorongoro?
Kila miaka 10 wanajidabo. Miaka 100 mbele watajidabo mara ngapi?
Rais una mamlaka kubadili matumizi ya ardhi kadri utakavyo kwa maslahi ya umma. Mtu ana kijumba cha udongo au mavi ya mbuzi unamjengea nyumba ya kisasa unamwamisha kwa gharama za serikali lakini wapuuzi wanasiasa uchwara wanakutilia kelele.
Ukibadili maamuzi kwasababu ya kelele za kisiasa ndipo sisi wananchi tunajua kuwa serikali ilikuwa haina nia njema na ule mpango au serikali ilikurupuka au wewe ulikuwa na maslahi binafsi na huo mpango.
Simamia unachokiamini, usitishwe na kauli za kwamba utapoteza kura. Kura ni nini mbele ya maslahi ya taifa? Vijiji vingapi wananchi wamesogezwa (kuhamishwa) mbali na hifadhi bila fidia?
Nitakachokipinga ni uuzwaji wa rasilimali tu lakini kama wanahamishwa kwa lengo la uhifafhi sawa. Wahamishwe, walipwe wakaazi wa zamani tu, kaya walizohamia hivi karibuni watimuliwe, wasipewe hata Senti.
Mbona kipindi cha Magufuli watu walikuwa wanatii amri haraka? Kama hutaki kutumia uamiri jeshi mkuu ulionao ni vyema upumzike. Watanzania bila kuwanyoosha hawanyooki. Hata ukigawa sembe kg 25 kila nyumba lazima Wapinzani tutakuparua. Usifanye jambo na baadaye kubadili kwasababu ya kelele.
Huyu ni mpumbavu na mhuni TU! Wamasai waachwe wake!Acha unafiki ww kwa nn wabongo tunakua wasaga sumu!.Roho mbayaaa ww.. unaona wamasai kupelekwa mkoa mwingine ambako sio asili yao japo ni tz ni sawa!!!.Rais kapata ushauri mzuri sana waachwe wakae ilipo asili yao ww kinakuuma nn jitie dole basi😎
Park maana yake ni baada ya uhuru na sisi tulipoanza kujitegemea ndipo Sasa tukaweka Authority ya kuweza kumanage hiyo Rasimali ambayo tumepewa na Mungu tokea zama na zama, besides hata kipindi Cha ukoloni mbuga hiyo ilikua inathaminiwa vile vile.Mkuu sijakuelewa kuna neno ngorongoro najua ilikuwepo tangu dunia kuanza. Ila kuna kitu kinaitwa ngorongoro national park na wamasi nn kilianza apo