Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

Mleta mada nahisi akili zitakuja ukiwa kaburini na sio hapa duniani!
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha upumbavu wako
 
Kwahiyo Samia ndo anauchungu na hii nchi? Mtu amabaye anawafukuza watanzania wenzake ili kuwapa ardhi waarabu.
 

Huwezi kuwaondoa Wamasai halafu uwape ardhi yao Waarabu. Hilo halikubaliki.
 
Wamasai sio special! Kelele za wapinzani Raisi zisikutoe kwenye reli.
Kwa taarifa yako, kila raia wa nchi hii ni special kwa mujibu wa katiba ya nchi, pamoja na haki za binadamu kujali tofauti za kidini,kikabila, kijinsia au kipato.
 
 

"Tobikooo .. Samia Hassani!" Alisikika Profesa mmoja almaarufu kutokea jalalani. 🤣🤣

Vipi hauna mrejesho wowote kuhusu ujumbe wako huu kwake?
 
Usichokijua, bibi yule hana maamuzi. Wenye maamuzi ni wengine
 
Naunga mkonyoo,aah Mkono hoja hiyo hapo juu...wamasai siyo special hata sisi wamakonde tulihamishwa kwenye makazi yetu kupisha Mradi wa Gesi Kwa maslahi ya Taifa,kwahiyo President Samia simama kidete Katia hilo usirudi nyuma.
 
Ngoro Ngoro imekuwapo tokea kuanzia Kwa Dunia,hao wamasai ni kama mtoto kautaaa,mtoto kautaaa ..mtoto kautaaa.
Mkuu sijakuelewa kuna neno ngorongoro najua ilikuwepo tangu dunia kuanza. Ila kuna kitu kinaitwa ngorongoro national park na wamasi nn kilianza apo
 
Wamasai wanasumbua sana,mara ooh sisi tumezoea kuishi na kukaa na wanyama,kama ni hivyo why Sasa mnalilia sukari,chumvi,biskuti na soda kutoka Karatu?SI muishi kama wanavyoishi wanyama hao mnaoshobokea kukaa nao?
 
Nikuulize swali,

Wananchi Huwa wanampigia kura Amiri jeshi mkuu au Rais?

Amiri jeshi mkuu ni panapokuwa na vita, kuhusu wananchi lazima maridhiano na Sheria za nchi zifutwe.

Maasai ni wamiliki wa ardhi ya Ngorongoro kisheria, hayo mabavu ya kijeshi hayahitajiki Ngorongoro.

Tumia akili kama unazo!!
 
Huyu ni mpumbavu na mhuni TU! Wamasai waachwe wake!
 
Mkuu sijakuelewa kuna neno ngorongoro najua ilikuwepo tangu dunia kuanza. Ila kuna kitu kinaitwa ngorongoro national park na wamasi nn kilianza apo
Park maana yake ni baada ya uhuru na sisi tulipoanza kujitegemea ndipo Sasa tukaweka Authority ya kuweza kumanage hiyo Rasimali ambayo tumepewa na Mungu tokea zama na zama, besides hata kipindi Cha ukoloni mbuga hiyo ilikua inathaminiwa vile vile.

So,ni jukumu letu kuilinda mbuga hiyo ili wajukuu wa wajukuu wetu waweze nao kuja kunufaika nayo.

Hao wamasai hawana shule,waelimishwe zaidi wakiwa wakadi wapigwe bakora waondolewe hapo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…