Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

Kouwma kama wewe huwa wana mchango hasi sana kwa hili taifa.
 
Naunga mkonyoo,aah Mkono hoja hiyo hapo juu...wamasai siyo special hata sisi wamakonde tulihamishwa kwenye makazi yetu kupisha Mradi wa Gesi Kwa maslahi ya Taifa,kwahiyo President Samia simama kidete Katia hilo usirudi nyuma.
Bora nyie mlihamishwa kwa sababu ilio realistic. Kuhamishwa nyumbani kwako kibabe kisha apewe mwarabu unaona ni kitu kimenyooka kweli?!
 
Hapo ndiyo tatizo ,unawafukuzwa wamaasai kisha unampa Habibii mwarabu awinde na kuchukua wanyama na kuwapeleka Dubai kwa muda wa miaka 100.
Utashangaa sasa akili ni ipi? Kumwacha mzawa ambaye haangaiki na wanyama hao au kumpa mgeni ambaye anafanya animal hunting & trafficking?
 
Utashangaa sasa akili ni ipi? Kumwacha mzawa ambaye haangaiki na wanyama hao au kumpa mgeni ambaye anafanya animal hunting & trafficking?

Sure ,ingekuwa wamaasai ni tatizo basi tangia wawepo hapo ngorongoro kusingekuwa na swala wala simba kwa muda waliokaa ,nina uhakika wakimkabidhi mwarabu hapo ndani ya miaka 10 hakutakuwa na hata sungura pori wote watapelekwa dubai kufungua More Zoo.
 
Acheni ujinga serikali na jeshi lake hawezi kushindwa na wamasai tu, sema tu!
 
Acheni ujinga serikali na jeshi lake hawezi kushindwa na wamasai tu, sema tu!
 
Acheni ujinga serikali na jeshi lake hawezi kushindwa na wamasai tu, sema tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…