Rais Samia yuko wapi?

Picha na namba mkuu
 
Mkuu huu uchawa usikufanye kama wewe ni kiranja wa fikra za watu humu. Mleta hoja kauliza kwa nia njema hajamuona au kumsikia Rais wake wewe unamuita mjinga. Haki hiyo unaipata wapi au wewe unajiona so special humu jukwaani. Ungejua tu kuwa huyo Rais mwenyewe anakuonea kinyaa kwa huu ushambenga wako utafikiri wewe ndiye msemaji wake. Punguza ujuaji dogo.
 
Wanadhani ccm ni chadema,wao bila Sultan mbowe hawafanyi kikao wanakaa kama makondoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…