Rais Samia yuko wapi?

Chawa umeshapanick😂
 
Sijamsikia siku mbili hizi.
Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja.
Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize

Maza yamemzidi mwacheni apumzike Kizimkazi. Yaani inaelekea akienda huko Majuu anapata walau raha. Hili la Muungano litampa shida sana.

Nimemsikia Osman akinongea jana, anadai kuwa Watanganyika kila kukiwa na Rais wa kutoka Zanzibar huwa tunakuja na hoja ya muungano lakini kipindi Rais akiwa Mtanganyika tunakaa kimya. Hayo mayowe ndiyo yatakuwa yanampa shida Maza.
 
ACT watavunja muungano tuwanyime kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…