Rais Samia yuko wapi?

Rais Samia yuko wapi?

Acheni ujinga wenu na utoto wa kijinga.mnataka aonekane muda wote hadharani kwani yeye amekuwa jua? unaposema habari za kuhudhuria kikao cha kamati kuu, kwani ni lazima aongoze vikao vyote yeye. Nini maana ya uwepo wa makamu zake wenyeviti. Acheni ulimbukeni na ushamba wenu. Kama huna cha kuandika si bora ukae kimya tu.
Chawa umeshapanick😂
 
Sijamsikia siku mbili hizi.
Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja.
Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize

Maza yamemzidi mwacheni apumzike Kizimkazi. Yaani inaelekea akienda huko Majuu anapata walau raha. Hili la Muungano litampa shida sana.

Nimemsikia Osman akinongea jana, anadai kuwa Watanganyika kila kukiwa na Rais wa kutoka Zanzibar huwa tunakuja na hoja ya muungano lakini kipindi Rais akiwa Mtanganyika tunakaa kimya. Hayo mayowe ndiyo yatakuwa yanampa shida Maza.
 
ACT watavunja muungano tuwanyime kura!
 
Back
Top Bottom