Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

Eti kipindi cha kumbukizi ya mkapa mama alikua wapi.


Wasukuma ni washamba yani wanamuona marehemu alikuwa Mungu kwao
Siku hizi mnatukana kabila la wasukuma huku wasukuma wenyewe hawana shida na nyie huko maeneo mnaishi nao vzr Tu lakini hapa mnatukana bila woga wowote lakini siyo mbaya hakuna kisicho na mwisho
 
Tulishasema hatutaki ibada za wafu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Safi sana.
Nataman iwepo siku ya kulichapa viboko kaburi!
Kama maka na kurusha mawe.
Mtu anayecheza na uhai wa watu kisa madaraka si wa kuonea haya!
Huyu rais wa sasa walau anaheshimu utu na uhai.
 
Mwaka Huu Wamemkataa Hata Radio/Television Sioni Amsha Amsha Iwapo Kuna Lolote
Akukataaye Hakwambii Toka Ngoma Inogile Ccm Mbele Kwa Mbele
 
Safi sana.
Nataman iwepo siku ya kulichapa viboko kaburi!
Kama maka na kurusha mawe.
Mtu anayecheza na uhai wa watu kisa madaraka si wa kuonea haya!
Huyu rais wa sasa walau anaheshimu utu na uhai.
Lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…