Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

Enzi za Mkapa kaachia madaraka na JK kuingia,hapa palikuwa hapatoshi na mada za Mkapa na kashfa za Kiwira,tan green na nyingine tele kama ulikuwepo hapa enzi za 2006-2010.JPM atapumzishwa siku aliyepo madarakani atakapompisha mwingine,mashambulizi yataelekezwa kwa aliyetoka madarakani.Ni kawaida hapa JF.
 
Reactions: Tsh
Kipindi fulani hivi cha mihemko.
 
Kipindi fulani hivi cha mihemko.
Sahihi kabisa.Unaona sasa hivi SSH wanashikwa na ka uoga flan kwakuwa yupo madarakani.Subiri atoke madarakani endapo tutajaliwa uhai,ndiyo JPM atapumzishwa wanahamia kwa SSH.Utakumbuka hii comment yangu.JF inafurahisha sana [emoji3]
 
Reactions: Tsh
kwani wewe umezuiwa kwenda chato? usituchoshe
 
Magu alisema matatizo ya nchi hii asipotatua yeye hakuna atakayetatua baada yake. Mungu ni fundi wa mafundi akaamua kumchukua ili tunaobaki tubakishe maneno. Sioni cha kumkumbukia aende zake
 
Kwa Yesu kuna kila kitu. Kiarabu ni lugha kama kiswahili tu hakina cha kujifunza kwa kitabu kisichonihusu
Si unaona huelewi unajifanya unaelewa.

Qur'an inamhusu kila mtu. Qur'an ni kwa walimwengu wote kwa wakati wote.

Soma.
 
Polepolee alikuwa mjinga sana 🤣
 
Ni kitabu kwa ajili ya waislam pekee. Punguza udini,kiarabu ndo lugha ya walimwengu wote kujifunza pale watakapo

مساء الخير
Si unaona huelewi unajifanya unaelewa.

Qur'an inamhusu kila mtu. Qur'an ni kwa walimwengu wote kwa wakati wote.

Soma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…