Rais Samia zuia mikutano ya Siasa mpaka wakati wa Kampeni

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia kutumika siasa vibaya.

Mambo kama ulaya hakuna mikutano mpaka wakati wa uchaguzi.
 
Mmeshazidiwa kwenye ushawishi wa kisiasa, Sasa mnaanza kujiuliza ili mpate mbeleko ya vyombo vya Dola.
 
Una corona inakunyemelea
 

mmmh haya...
 
Safi sana. Ukiona hivi ujue dawa imewaingia mpaka kunako. Chawa mtakufa njaa.
 
Hiv raisi wa Tanzania akiwa mzanzibar makamu atakua mtanaganyika.....kwanini na sisi kule zanzibar tukampeleka mtanganyika akawa raisi alafu makumu wake akawa mzanzbar illi kubalance utaifaa......au Samia achane na kugombea urais itakuwa poa sana maana naona hapa watanganyika kuna kitu tunakosa kabisa kule Zanzibar main president ni mzanzibar na huku bara Pia raisi ni mzanzibar mbona kama wanatunyonyaa hawa nduguzetu kupitia mchanga wa kibuyu
......needs answer.......
 
Leo ccm imevuliwa nguo hapa Moshi ni shamrashamra kweli kweli.
 
Mi sina undugu na mzanzabar yeyote futa kauli
 
ni watalaam sana wa kubugia kila kitu, hata penalti wanakaba... Tanganyika bado tuko suingizi wa pono, ila sasa tumeanza kuchangamka
 
Huo si uchawa ni ushamba washauri wa Rais wapo wewe huna mamlaka ya kumshauri Rais mwenyewe kayaruhusu.
 
Hivi Nchimbi mikutano yake bado inaendelea?
 
Kwa akili hizi nchi kuendelea ni vigumu sana. Watu wanakunywa maji ya tope baada miaka ya 60 ya uhuru ni sababu ya maandamano? Hela za chamq kisichokuwa chako wewe zinakuhusu nn? Si uanze kwanza kuhojji pesa escrow? Epa, meremeta na kagogoda ili tujue kwamba kweli una uchungu na pesa za nchi hii? Mmeshindwa kuwapa watu ajira mnasingizia maandamano? Kenge maji nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…