Na hao watu ndo kina kibajaji mwendazake hayupo Wana raise issue zake ili iweje. Mama akiwa mwenyekiti awanyooshe yeye ndo mkuu, vijibwa vingine viftyatishwe mkia kilazimaMama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Ndio lengo lililojificha kwenye hii mada sema mwenzako hajaweka wazi kama wewe.Hii ni hujuma, Kama ndivyo soon Bunge litavunjwa tuRejee kwenye uchaguzi.
Isome vizuri katiba ya nchi kama ilivyo sasa. Hilo haliwezekani.Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Mama awanyooshe hao washenzi maana Sasa ni awamu yake wanaongelea miradi ya jiwe ili iweje, the way kibajaji alivokuwa anaongea alikuwa ana send message indirectKundi lile ambalo lilikuwa halitaki mama aingie Ikulu lina watu wabaya sana kwa Taifa letu na linahaha kutwa kucha ili kumdhibiti Mama. Na kama unavyoona kuna juhudi kubwa sana Bungeni ya kuponda ripoti ya CAG ili tu waliinue jiwe lao kwamba limefanya mambo makubwa sana.
Mama akitetereka basi wahuni hao ndiyo watakuwa wameshika usukani which is not a good idea for the future of our beloved country
Hivi akilivunja yeye naye si itabidi agombee urais ? Au ikoje?Kabla hawajapiga Kura Mama atalivunjilia Mbali Bunge [emoji1787][emoji1787]
Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono
Hawezi. Rais hamteui spika.Kwani rais hawezi kumfukuza spika?
Kwanini turudie uchaguzi kisa ndugai plus unnecessary cost?WAKIFANYA MCHEZO UCHAGUZI UNAWEZA KURUDIWA NA NDIO UTAKUWA MWISHO WA NDUGAI KWANI KULE KONGWA HAWAMTAKI KABISA!!
Nani ampoke hiyo kadiTunafahamu ugumu wa mchakato wa kulifanikisha hili lkn mama hana nguvu maana siyo mwenyekiti wa chama. Kwahiyo anaweza kupokwa kadi ya ccm.
Ww na wasukuma wenzako ndo hamna imani nae,kafukueni ule mzoga wenu muujaze upepo muwe mnausujudia,,, Samia Rais hadi #2045". Utaki hama nchi kenge wwKama ndugai atafanya hivyo atafanya jambo lililojema sababu sio yeye tu na wabunge hata wananchi hawana Imani nae kabisa huyo Mama
Sukuma gang ikiongozwa na Ndugai, Gwajima na Bashiru (GS wa ccm)Nani ampoke hyo kadi
Yaani uko wapi nije tugonge glass hata ya alcohol free ChampaignWw na wasukuma wenzako ndo hamna imani nae,kafukueni ule mzoga wenu muujaze upepo muwe mnausujudia,,, Samia Rais hadi #2045". Utaki hama nchi kenge ww
Sio wananchi sema wewe na kundi kundiKama ndugai atafanya hivyo atafanya jambo lililojema sababu sio yeye tu na wabunge hata wananchi hawana Imani nae kabisa huyo Mama
Tunamuombea mno mama yetu. Wabaya wote wasambaratike wamfuate Mungu wao kaburini.Watu wakomakini tangu wa magu akate roho alianza kuhakikishiwa usalama wake hivyo hilo ondoa shaka labda watumie njia nyingine kama kawaida yao.
Naomb niishie hapo
Duh!We mtoa mavi umetumia bangi au bange?
Sorry sio mtoa mavi nimemaanisha mtoa mada
Kwa kifungu kipi cha Katiba ya Nchi yetu Rais anaweza kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani?Mama nakuomba uwe critical unazungukwa kwa Kasi sana na ndugui ndo engineer wa Hilo kwa kupitia wabunge na ameanda wachangiaji wa kukushtumu indirectly ili iwe vyepesi kupenyeza kura ya kutokuwa na Imani na wewe na wote waunge mkono