Rais Trump awapa siku tatu Hamas kuwaachia mateka wanaoshikiliwa

Agano kati ya US na Israel kwa sasa lipo strong sana hivyo Hamas, Iran na magaidi wengine watapata tabu sanaaaa.
Wakati wa Biden migaidi ilienjoy sana ikafikiri kutakuwa na extension ya raha sasa chuma kimeingia hakicheki na kima
 
Vita ya Ideologia haipiganwi kimabavu kitu ambacho anajua (ingawa hajali sababu yeye ni kutaka sifa tu kwa wapiga kura wake) ni kwamba hapo anatengeneza HAMAS wengine kwenye mlango wake (enemy within) ambao kesho au keshokutwa wanazidi kufanya dunia kuwa a dangerous place; Nilishasema kitambo hivi hata kile alichofanya Israel kinakuza au kuondoa ugaidi...

 
Na Hamas & Hezbollah wako funded and directed/controlled by Iran, and other Arab countries, Kuna ubaya gani? hakuna inchi inaweza survive bila washirika
 
Chizi hili alafu halina shida na wachina, russia wala Iran… yule jamaa wa North korea ndo mshikaji wanaoelewana kinoma mpaka kukumbatiana hadharani.. sasa wale jamaa walikua wanajifariji na vita ya dunia sijui jihad, huyu memba atakamua bila kutumia hirizi alafu hakuna wa kuwatetea.. wajiongeze tu
 
Unatia aibu ukiwa msikiti gani?
 
yule rais wa Amerika, akisema huwa hatanii
Wapi mbona alikimbia kwa Iran au umesaau na Iran iyoiyo itakuwa Pembeni ikipeleka MOTO Kutokea Yemen na Iraq na hiii sio Ndogo Tramp ana cha kufanya Palestina awawezi ondoka apo Wameshasema Watakufia apo!!!!
 
Sasa wale waumini wa Taifa Teule tukubaliane anayepigana na Hamas ni USA na Israel ni jimbo la Marekani pale Middle East
BADO wanaimba kanisani Israel iliwashinda Waarabu kwa siku6 bana yesuu asifiweeeer macho wanayo akili ya kujua kabanwa na aja kubwa au ndogo pia anayo lkn Awataki kutumia kuona Ukweli uliofichwa!!!!! PALESTINA inapigana na Marekani miaka kwa miaka iyo Israel ni kiini macho tu!!!!
 
aliwabembeleza misri wachukue wenzao wakagoma ngoja tuone next episode.
Mfalme wa Jordan yupo ikulu ya marekani jioni hii anafanya mazungumzo na trump na amesema kuwa anamsubiri RAISI wa Egypt kama atakubali na yeye yupo radhi kuwapokea raia wa Palestine
 
S
Usidanganyike ndugu hakuna asieogopa kufa huko Gaza.
Atukatai lkn uwezi kuwafananisha Mpalestine yani Hamas na mwanajesh mwengine jamaaa wapo kama Taleban Wakijua haki ni kupigana ujue iyo vita itachukue ata miaka 50+

ndio Wapalestina akuna kuweka silaha chini tangu na tangu pamoja na technology ya Jeshi kuwa kubwa Upande wa Adui lkn awakati Tamaa kuipigania nchi yao leo tumeona taifa lina kilakitu cha Kijesh lkn limebidi kufata matakwa ya Hamas jesh alina ata ndege alina vifaru alina supply yoyote ya kivita

Wapalestina awatowai ogopa kupigana ata uko Marekani atawale Shetani sembuse uyu mlokole kibabu cha mbunye!!!!! Kimefutiwa kesi za mbunye kibao!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…