Kumbe ndio maana hakuja kwenye lile igizo la kumuapisha akawaachia wasanii wengine kina Museveni.
Jamaa ana uelewa wa juu sana hasa linapokuja suala la mahusiano kati ya wanasiasa, amepevuka sana kidiplomasia, kagonga pale pale hajataka unafiki.
Haya yanayotokea hapa kwetu atakuwa anayaona mambo ya kishamba sana, kutofutiana itikadi ndio unamuona mwenzio adui, mpaka anakimbia nchi aliyozaliwa upo kimya husemi chochote?
Ukweli gani?Good news
Eti Kenya wanna uwazi wa habari duh. Watu mmekaririshwa na mkakubali.Chukua simu yako Google nchi gani ina uchumi mkubwa katika east Afrika. Last election wameuana zaidi ya Zanzibar, wao wana uwazi wa habari, hapa kwetu hilo lipo?
Kuwa na bandari nyingi haimaanishi ni bora na bussiest. Hiyo hela ya Tanzania inaweza kununua vitu vingi vya mashambani, toka kwa wakulima waliochoka kimaisha ila sio bidhaa za viwandani, achia mbali ubora wa bidhaa hizo.
dogo jiangalie muda wa kampeni umeshapita na rais kapatikana,hivyo usilete lugha za hovyo.Tatizo la hapa kwetu tulimpa uongozi wa kisiasa MTU asiye mwanasiasa.
Msimamizi wa mafundi ujenzi site, aliyebobea kuswaga mbuzi na sii kuongoza kondoi.
Woi, ww Kwanza napoteza muda. Nakujua ni bavicha kindakindaki, hamtaki kuamini hamna support kubwa.Chukua simu yako Google nchi gani ina uchumi mkubwa katika east Afrika. Last election wameuana zaidi ya Zanzibar, wao wana uwazi wa habari, hapa kwetu hilo lipo?
Kuwa na bandari nyingi haimaanishi ni bora na bussiest. Hiyo hela ya Tanzania inaweza kununua vitu vingi vya mashambani, toka kwa wakulima waliochoka kimaisha ila sio bidhaa za viwandani, achia mbali ubora wa bidhaa hizo.
Kwake kunafuka moto alafu yeye ana angalia jirani.Awapokee tu na kazi awape kabisa.
Mwisho wa kampeni ndio mwanzo wa kamoeni pia.dogo jiangalie muda wa kampeni umeshapita na rais kapatikana,hivyo usilete lugha za hovyo.
Ndo maana baada ya kuona yaliyotokea kwenye Uchaguzi wetu, hata kwenye sarakasi za kuapishwa hakuhudhuria kule Dodoma ingawa ni jirani mwema hata zawadi ya Tausi wetu alipewa kama Museveni aliyehudhuria akiwa amevaa Barakoa ya nguvu kujikinga na Covid-19. Wageni wote waalikwa walivaa Barakoa wala hakuna mwenyeji aliyewatoa hofu ya hilo gonjwa maana lipo sana hata baada ya kujifukiza. Kenyatta hatafuni maneno!Yaani Kenyatta aliposikia matokeo ya Tanzania nadhani alikuwa anacheka mpaka anachanganyikiwa, haamini kuwa bado kuna nchi zinaweza kuendesha chaguzi zao ili kukidhi utashi wa kiongozi aliyeko madarakani. Amejiridhisha pasi na shaka kuwa bado watanzania wengi ni maiti, ila hao wachache waliokimbia mortuary atawapokea.
Sema mwana Lumumba!!Kama ulivo wewe mshamba. Huo ni ulofa sana.
UKumbe ndio maana hakuja kwenye lile igizo la kumuapisha akawaachia wasanii wengine kina Museveni.
Jamaa ana uelewa wa juu sana hasa linapokuja suala la mahusiano kati ya wanasiasa, amepevuka sana kidiplomasia, kagonga pale pale hajataka unafiki.
Haya yanayotokea hapa kwetu atakuwa anayaona mambo ya kishamba sana, kutofutiana itikadi ndio unamuona mwenzio adui, mpaka anakimbia nchi aliyozaliwa upo kimya husemi chochote?!
Lumumbaaaa!!MMEPEWA NAFASI KWENDA KENYA MSITUPIGIE KELELE..MAANA ALITIA FITNA NYINGI AWEKE MTU ANAYETAKA KASHIKWA PABAYA SASA ANATAPATAPA..WAKIFIKIA KUANZA KUCHINJANA TUTAENDA KUWASULUHISHA ..NA KAMA UNAHASIRA SANA KAMSEMEE MAGU KWA AMSTERDAM SAWA MAMA..UKISHINDWA KAA CHINI FANYA KAZI
dogo achana na hizo maneno za hovyo hovyo, heshimu matokeo ya uchaguzi na heshimu walioshinda.Mwisho wa kampeni ndio mwanzo wa kamoeni pia.
Are you not a great thinker?
achana na tangazo, simama kwenye uhalisia.
Tunaona hatuhadithiwi.Ukweli gani?
Eti Kenya wanna uwazi wa habari duh...watu mmekaririshwa na mkakubali...
Ungekua na akiri ungefatilia siasa za kenya hata kwa mwezi mmoja usingeleta ujinga hapa
Ungemshanagaa uhuru kwa yale anayoyasema.
Kamuulize yeye na Ruto wako sawa?
U
Watakufa kama wakenya kisha viongozi wanapatana wanakunywa mvinyo, bali marehemu wanaenda jehanamu kwa ujinga wao.Kenya mmekomaa kisiasa. Sisi pia inabidi tuingie mtaani ndo viongozi watapata akili. Ila siku itafika tu ambayo wananchi wengi watasema sasa yatosha kuvumilia. Wenyewe wataingia mtaani.
Twende zetu Gwakukaja tukatafute na soko zuri la mchele wetu pendwa.Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Kenya
Kkkk...dogo achana na hizo maneno za hovyo hovyo, heshimu matokeo ya uchaguzi na heshimu walioshinda.
Woi, ww Kwanza napoteza muda. Nakujua ni bavicha kindakindaki, hamtaki kuamini hamna support kubwa.