Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

.
Kwenye nchi "ile" ya Bwana "yule" hata alipoambiwa gonjwa la ZIKA limeingia nchini mwake akamfukuza kazi mkurugenzi, sembuse Covid-19!!!!
Kwa hiyo hapo ulipo una zika?
 
Kwan Kenya toka nianze kusikiaga Kenyatta toka nipo mdogo like 5 years.. Bas ndo jina hilo hilo tu kila siku Kenyatta, kwan katiba na demokrasia yenu inasemaje kwamba ukiwa na jina Kenyatta ndo unakuwa rais wa Kenya au?

Na bado mnasema Kenya ipo demokrasia, ni ya ma Kenyatta au?
 

Hehehe Sio kila kitu cha kung'ang'ania, unatumia nguvu nyingi ila haitobadilisha ukweli kwamba nyote mumepagawa, hamna common sense au tathmini za kisayansi, kuandika andika humu hakutobadilisha ukweli wa hilo neno.
 
Hapo hongera umempa kwa lipi sasa. Kushindwa kuidhibiti korona au kutangaza kila siku idadi mpya ya wagonjwa?
 
Hehehe Sio kila kitu cha kung'ang'ania, unatumia nguvu nyingi ila haitobadilisha ukweli kwamba nyote mumepagawa, hamna common sense au tathmini za kisayansi, kuandika andika humu hakutobadilisha ukweli wa hilo neno.

Katika suala la korona huna haja ya kutumia nguvu kama unavyoamini na unavyojaribu kuwaambisha wengine. Ukweli ni kwamba kila taifa linatumia njia ambayo linaona inafaa, kwa kuzingatia afya ya wananchi wake. Kama wananchi wako wana afya nzuri, nchi haiwezi ikawa na taharuki na kuanza kuchukua hatua kali ambazo siyo muafaka. Tanzania ni mfano wa nchi ambayo afya ya jamii inazidi ubora wa kiwango cha wastani, ndiyo maana maafa siyo makubwa sana. Kwa hiyo kupanda ni kuchagua lipi linakufaa katika mapambano haya.
 

Hili ni tatizo la kisayansi, tumieni ubongo na kushirikisha "wataalam" wenu kama mnao.
 
Nakuhurumia ndugu yangu
 
1. Ni kweli kwamba ugonjwa bado upo.
2. Kwa muda tuliokaa nao haujaleta hatari za kuchukua hatua zilizochukuliwa na wengine.
3. Kila mtu aendelee kuchukua tahadhari.
MUNGU wetu anaendelea kuwa mkuu siku zote. Sisi kama binadamu wajibu wetu ni kuchukua tahadhari na kuwaombea walioathirika na kadhia hii kwa namna yoyote ile. Malumbano kuhusu suala hili hayana tija kwa yoyote.
 
Nyie wenye hamuwezi kupata corona endeleeni kujivinjari.
Subjectivity haitowasaidia ktk kila jambo.
 
Kama kungekuwa na EAC federal government, top brass ingekuwa hivi:

President: Uhuru Kenyatta

VP: Bob Wine au Tundu Lissu au Zitto Kabwe

PM: Paul Kagame au Freedom Mbowe au John P Magufuli
Peleka hii mada kenya af jibu utalipata [emoji3][emoji3]
 
Mungu awasaidie kama alvyotusadia Tanzania. Hakuna kinachofichwa, ni utukufu wa Bwana umetufunika!
 
Alafu hawajui hayo mapokezi ya Lisu bado walimobilise Tanzania nzima network ya ofisi na viongozi, bado turn up ilikuwa kama vile.
 
Hili ni janga la kisayansi linapaswa kushughulkiw kisayansi sio hayo matamko yasiyokua na mantiki na mifano sijui ya nyoka wala nini.

Tatizo ni Wazungu wakishawachanganya bongo zenu mnaami everything. Kwani hii mitishamba tunayotumia sio sayansi? Hivi hujui hii mitishamba ndio wazungu unaowaabudu wanayoitumia ktk sayansi yao in otherways? Badilisha mtazamo ninyi wakenya la sivyo mtapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…