Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya .. wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii .. nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii ... Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini ? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya !! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini ? Hatutaki kabisa katiba mpya !! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake! Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu !! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu ..asanteni
..
Ukute ni kapuuzi kamoja kaliko feli form four tu kapo hapo lumumba ndo kanajamba ushuzi huu. Pumbavu kabisaHakuna kinachopiganiwa hapo zaidi ya maslahi ya wanasiasa
Punga kama wewe huna hoja za kupeleka mahakama, endelea kujifariji tu hapa jf na wajinga wenzioNiko tayari kukosolewa na nimejiandaa kwenda kuzuia huu mchakato mahakamani
Asalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya .. wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii .. nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii ... Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini ? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya !! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini ? Hatutaki kabisa katiba mpya !! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake! Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu !! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu ..asanteni
..
Hakuna kinachopiganiwa hapo zaidi ya maslahi ya wanasiasa
Niko tayari kukosolewa na nimejiandaa kwenda kuzuia huu mchakato mahakamani
Juha ni wewe usiejua maana ya uhuru wa maoni wewe ni mpumbavu
Walisifia nchi jirani wakati wa uchaguzi eti katiba mpya sasa kinachotokea huko siyo katiba mpya bali kitabu kipya
Duh...!. Mkuu Mganguzi , kwanza nikupongeze kwa bandiko hili na kuheshimu uhuru wa maoni na uhuru wa kijieleza, yaani freedom of expression and freedom of speech.
Dunia ilipoumbwa, hakuna aliyejua dunia ni duara, watu wote kwa kutokujua kwao wakajua umbo la dunia ni umbo bapa.
Galileo Galilee alipogundua telescope na kuliona umbo la dunia kupitia kivuli cha kwenye mwezi, alipotangaza kuwa dunia ni duara, Galileo Galilee aliuwawa kwa kosa la kumkufuru Mungu kwa kitendo chake cha kusema dunia ni duara!.
Ukiwa hujaonja embe dodo ukiambiwa tunda tamu kuliko yote ni pera utaamini mpaka utakapoonja embe dodo ndio utagundua kumbe tunda tamu ni embe dodo.
Ukionja zabibu unagundua ni zabibu, ukionja nanasi unagundua ni nanasi, ukionja tende unagundua ni tende, ukionja asali ndipo utagundua asali ndio funga kazi ya utamu!.
Wewe ni mmoja wa Watanzania wasiojua katiba wala Umuhimu wa katiba mpya, hivyo wameridhika sana na hii katiba pera iliyopo, bila kuonjeshwa katiba embe, katiba nanasi, katiba tende na katiba asali, kamwe hauwezi kujua Umuhimu wa katiba mpya.
Hili la Watanzania kutujua katiba, hata Rais Samia amelisema
Hivyo watu kama akina sisi tuliobahatika kajiuwezo ka kusoma sheria na kuijua katiba, tumejitolea kuwaelimisha wengine Umuhimu wa katiba mpya kwanza kwa kuwaelimisha Watanzania wenzetu elimu ya katiba ili waifahamu katiba.
Angalia bandiko hili elimishi kuhusu kuijua katiba ni la lini na limechangiwa na watu wangapi ili kupata picha ya Watanzania wanavyotaka kuijua katiba Ijue Katiba ya JMT-1: Katiba ni nini, ya nani, ya kazi gani? Msemo "Katiba ndio ila kitu" Una maana gani? Katiba ina umuhimu gani?
Just imagine mtu unajitolea kuelimisha umma kuhusu katiba halafu responses ndio hii!, utaendelea kweli?.
Hivyo watu kama nyinyi mnapojitokeza kusema hamuhitaji katiba mpya, hatuwashangai bali tunawahurumia!.
Laiti ungelijua tungekuwa na katiba bora, Tanzania tungekuwa wapi, ndipo ungeweza kujua tofauti ya utamu wa pera na asali!.
Kama una muda karibu pande hizi
P
- Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
- Mchakato huu wa Katiba ni umasikini wetu. Tujikubali, tuukubali, tuupigie kura ya ndio
- Je Wajua Kuwa Kura ya "Hapana" Kwa Katiba Mpya! Ni Kura ya "Ndiyo!" Kwa Katiba Hii Iliyopo?
- Bora Katiba tuikubali, tusiichukie CCM kwa sababu CCM itahukumiwa na Karma kwa Uovu wake
- Pascal Mayalla: CHADEMA watengeneze kwanza Katiba mpya ya chama chao kabla ya kukimbilia katiba ya nchi, wawatendee haki wabunge 19
- Mungu asingemchukua yule Mwamba, ilikuwa atuachie katiba mpya Trends, Visions: Watanzania msitatizwe na kauli zake kuhusu Katiba, baada ya Nyerere, ni Magufuli ndiye ataacha legacy kubwa ikiwemo Katiba Mpya!.
- Sasa Mama atatuletea katiba mpya ila ni 2025 -2030, ila sisi washauri wa bure tumemshauri Hongera Sana Rais Samia kwa Miaka Miwili Madarakani. Japo Umefanya Mengi, Makubwa, Mazuri, Lakini Bado! Linalowezekana Leo, Lisingoje Kesho!
Naunga mkono Hoja kwa asilimia 100 .Watanzania hatuna haja ya Katiba Mpya .Katiba ya Mwaka 1977 ni Msingi Imara wa Taifa letu. Mambo yote ambayo tumeyafanikisha kama Taifa au Watu binafsi yametokana na Katiba hii.Asalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya .. wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii .. nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii ... Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini ? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya !! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini ? Hatutaki kabisa katiba mpya !! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake! Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu !! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu ..asanteni
..
Naunga mkono Hoja kwa asilimia 100 .Watanzania hatuna haja ya Katiba Mpya .Katiba ya Mwaka 1977 ni Msingi Imara wa Taifa letu. Mambo yote ambayo tumeyafanikisha kama Taifa au Watu binafsi yametokana na Katiba hii.
Wanatokea baadhi ya Watanzania wenzetu kwa maslai ambayo hayako wazi , ovu,potofu na hatarishi wanataka Katiba hii ibadishwe.Kumbukeni mkibadirisha Katiba ya Jamhuri ya Tanzania ya mwaka 1977 huo ndio utakuwa Mwisho wa utambulisho wa Mtanzania.
Acheni kufanya majaribio kwenye eneo lisilohitaji majaribio hata kidogo.
Matatizo mlio nayo au matatizo tuliyonayo kama Nchi kisiasa,kiuchumi,kiteknojia,kibailojia, kiutamaduni,kitibabu etc hayawezi kutatuliwa kwa kubadilisha Katiba.
Mkifanikisha hili mtakuja na hoja ya kubadilisha VITABU VYA DINI ili kuendana na matakwa yenu.
Yangu Maoni ni hayo kwa ajili ya rejea mbeleni.
ARTICLE.
Nyani haoni Kundule.Huna akili.selfish man
Katiba ndio Dini yetu Kama Taifa.Unaposema wewe ni Mtanzania rejea ya utanzania inakuwa inaanzia kwenye Katiba na si penginepo popote.Subiria kura ya maoni ndio tutajua wangapi wanataka na wangapi hawataki katiba mpya.
Hata wakati wa kurudisha vyama vingi inasemakana wengi karibaia 80% walijifanya hawataki kupitia Tume ya Nyalali ila mwaka 1995 kwenye uchaguzi wa vyama vingi Mrema alipata 40% ya kura. Hiyo janja janja yenu itaamuliwa kwa kura.
Kuhusu vitabu vyako vya dini hakuna anayejali , hayo ni mambo yenu na waumini wenzako huko kwenye nyumba zenu za ibada. Mkiamua kuvibadilisha, kuvichoma au kuachana navyo kabisa ni juu yenu. Hili taifa halina dini, haliwezi kuingilia mambo yenu kama hamvunji amani ya nchi.