Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..........pole mkuu naona unapopolewa mawe na wadau Kwa kuwa na mtazamo tofauti na wao.......hii ndo jf inayodaiwa kuwa ni free to talk openly lakini kumbe nyuma ya pazia watu wanataka uzungumze wanachokipenda wao, ubaguzi na kutotendeana haki kunaanzia humu hata kabla ya wenye mamlaka tunaowalalamikia kila siku........ ........humu ukitaka uonekane una akili unatakiwa uikosoe serikali kila siku, uipende chadema tu, udai katiba au umkashifu hayati Magu......Asalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya .. wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii .. nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii ... Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini ? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya !! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini ? Hatutaki kabisa katiba mpya !! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake! Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu !! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu ..asanteni
..
Katiba ndio Dini yetu Kama Taifa.Unaposema wewe ni Mtanzania rejea ya utanzania inakuwa inaanzia kwenye Katiba na si penginepo popote.
NI MJINGA TU NDIO HATAKI KATIBA MPYAAsalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya.
Wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii.... nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii...
Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya!! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini? Hatutaki kabisa katiba mpya!! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake!
Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu!! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu...
Asanteni
Pia soma: Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza
Ni rahisi. Andamana.NI MJINGA TU NDIO HATAKI KATIBA MPYA
Duuh hivi ni amani au utulivu??Asalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya.
Wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii.... nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii...
Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya!! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini? Hatutaki kabisa katiba mpya!! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake!
Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu!! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu...
Asanteni
Pia soma: Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza
Ndio tumeanza Sasa tunaratibu Mikutano tutatembea nchi kuwaambia wananchi katiba mpya haifaiWanaotaka katiba mpya wamejitokeza hadharani na kuidai, na wanafahamika waziwazi. Je nyie msiotaka katiba mpya kwanini hamjitokezi muipinge hadharani?
Wewe umeongea pointi na kiutu uzima, bila Shaka utakuwa Mzee mwenzangu Asante kwa maoni mazuri sanaMkuu Mganguzi kwanza nikupongeze kwa kuwa na maoni tofauti na lazima tuheshimu kwa kuwa Kila mtanzania anauhuru wa kutoa maoni yake.
Ila napata mashaka kwamba hata hii katiba ya Sasa Bado hauijui na ndio maana huwezi kuona mapungufu yake, kwa upana wa katiba hii lakini wewe umeona jambo moja tu AMANI. Ni kweli AMANI ni jambo muhimu lakini hii katiba ya Sasa inamengi sana yanayokandamiza hiyo AMANI unayoizungumzia.
Ushauri; Kabla hatujaanza kujibizana kwa hoja tumia muda kwanza kupitia katiba ya Sasa ya nchi halafu Rudi ulete neno.
Alamsik.
Mmmh ! Waendelee kupongezana tu wa upande ule ? Au iwepo serikali ya mseto ??!Asalaam ndugu zangu ..nianze Kumpongeza rais kwa kusikiliza hoja za watu wa kada mbalimbali hasa wa mlengo wa kisiasa wakidai katiba mpya.
Wamesikilizwa na ninasikia mchakato karibia utaanza ni jambo jema ... Lakini tupo sisi ambao hatukubaliani na mchakato huo .. hatuhitaji katiba mpya na tuna hoja na sababu za msingi ..nchi yetu imekuwa na amani kwa miaka zaidi ya 50 kwa katiba hii.... nchi yetu imekuwa na uchumi unaokuwa vizuri kwa katiba hii...
Kwa sisi tusiotaka katiba utatusikiliza lini? Na sisi tuna haki ya kusikilizwa kama ulivyowasikiliza hao wanaotaka katiba mpya!! Mimi na wenzangu wengi TU tusiotaka katiba mpya tutasikilizwa lini? Hatutaki kabisa katiba mpya!! Tumeona nchi jirani zilizokimbilia katiba mpya kwa minajiri ya ustawi kisiasa na maisha ya watu wetu lakini imekuwa kinyume chake!
Kenya vurugu tupu! Afrika kusini vurugu tupu!! Nchi zote zilizothubutu kubadilisha katiba ziliingia kwenye migogoro isiyoisha .. please rais hakuna legacy yoyote utakayoiacha kwa kuleta katiba mpya zaidi ya fujo na vurugu...
Asanteni
Pia soma: Serikali: Mchakato wa Katiba Mpya na maboresho ya Sheria ya vyama vya Siasa na Uchaguzi, sasa kuanza
Katiba iliyopo mpaka hatujaona madhara yake Bali amani yetu imekuwa tunu katiba hii Ingekuwa mbaya tusingefika hapaUnajipinga mwenyewe. Unataka Katiba ifanyiwe marekebisho ila hutaki katiba mpya kisa wanatume watalipwa pesa?. Huo ni wivu tu. Mbona miaka michache iliyopita watu waliunga juhudi na Uchaguzi ulikuwa unafanyika kila siku?. Mbona hukuhoji Hilo?
Mbona katiba iliandikwa mwaka 1977 hamkulalamika? Ikaja kufanyiwa marekebisho makubwa 1984 hamkulalamika? Imefanyika marekebisho mpaka 2005. Sasa kwanini tufanye marekebisho baadla ya kuandika mpya. Mnataka nchi iende kibabe kwa maslahi ya Nani?.
WachacheWasiotaka unajua wako wangapi
Watu wanataka wapate vyeo kwa sababu ajira Yao ni siasaAcha upotoshaji, katiba mpya sio ya wanasiasa pekee, wanasiasa au CHADEMA, wanaonekana mbele kwasababu Katiba inaanza na political process. Ila katiba inajumuisha makundi yafuatayo.
1. Wakulima
2. Wafanyakzi
3. Wafanyabiashara
4. Walemavu.
5. Wanafunzi.
6. Wanasiasa.
7. Wazee.
8. Wanawawake
9. Watoto.
10. Wasiojiweza.
11. Wanamichezo.
12. Wasanii.
13. Wanataaluma.
Pia, katiba mpya sio kwaajili ya udc au ubunge Bali inajumuisha mambo mengi. Kama.
1. Muuondo wa muungano.
2. Haki za binadamu.
3. Maadili ya taifa.
4. Uchumi.
5. Ushirikiano wa kimataifa.
6. Kodi na mapato ya taifa.
7. Rasilimali za nchi.
8. Wajibu wa kila Raia.
9. Wajibu wa serikali.
10. Mahakama
11. Bunge.
12. Mamlaka ya nchi.
13. Vyombo vya ulinzi na usalama.
14. Tume ya uchaguzi. Nk.
Kwa hivyo chadema Kama wanasiasa wait Wana haki ya kujadili mambo yanayo wahusu kwenye katiba na wengine wataingilia Kati.
Lakini wote wa pande tofauti ni watanzania na wanahaki ya kutawala !! Lakini wanaona hii katiba ndio kikwazo inawapendelea walioko madarakani! Je hiyo ni sawa kwako ??!Hakuna kinachopiganiwa hapo zaidi ya maslahi ya wanasiasa
HUyu sio mjinga anatoa maoni yakeMjinga mwingine huyu hapa. Mabadiliko madogo sawa ila kubadili kabisa ni tatizo? Wapi pameandikwa lazima Katiba mpya itamke kuwa Wakuu wa Wilaya, Mikoa wawepo achilia huo hayo mawazo yako ya kipumbavu kuwa watapigiwa kura? Kuna muda tumieni akili zenu sio matope.