Rais wa Afghanistan kakimbia nchi!

Mkuu, Afghanistan wana rasilimali gani hadi waweze kuwalipa USD 6 trillion x 100?
 
Raia wa USA ambao ndugu jamaa na marafiki zao wameuawa kwenye hiyo vita wamesha anza kuipiga pressure White house ili ieleze lengo la hiyo vita lilikua ni nini hasa?

Hii ngoma ndio kwanza inaanza,tutajua mengi.
Walipiga pressure hata lengo la vita ya Iraq,si unakumbuka hata Tony Blair aliwekwa kitimoto na bunge aeleza kwa nini alipeleka vijana Iraq wakafe?.
Ila baadae mambo yalipoa na hakuna mtu anauliza tena,so hata hili litapoa tu.
Kikubwa vita ya Afghanistan ilikuwa haina maslahi yyte kwa marekani na NATO hata wanajeshi walikuwa washachoka na kukata tamaa,so lazima wangesitisha vita tu.
 
Kwa sasa US ana uhakika na ushawishi wake ndio mana anaachia Urusi sasa. Ila matokeo yatakuwa mabaya zaidi kwa Marekani baadae
 
Raia wa USA ambao ndugu jamaa na marafiki zao wameuawa kwenye hiyo vita wamesha anza kuipiga pressure White house ili ieleze lengo la hiyo vita lilikua ni nini hasa?

Hii ngoma ndio kwanza inaanza,tutajua mengi.
unadhani wataweza watashindana na USA!!???
 
America siyo mjinga kuna makubaliano tu yaliyofanyika na Taleban hawawezi kuondoka wakamuacha ADUI yao kuwa madarakani
 
Umeingia utawala wa kiislam,watatumia sheria za dini kama katiba,yaani watu watabata amsha amsha baraaaa
Ndo wanawake wataambiwa hakuna
Kuendesha gar na lazma wavae hijabu
 
Ni moja la kosa kubwa sana alilolifanya Biden katika utawala wake,kama angemsikiliza yule Generali wake wala yasingetokea haya yote
 
Hmm??

Wamepata nini sasa? Ushahidi wa walichokipata, ukiacha sadiki, ni upi?

Marekani wamechemka. Wamekaa huko miaka 20.

Maelfu ya askari wao wamekufa.

Wamesaidia kuunda jeshi na wametumia mahela mengi kweli na mwishowe jeshi hilo limeyeyuka!

Mwisho wa siku Taliban wamerudi madarakani.

Hakuna chochote ambacho Marekani imefaidika nacho hapo.

Huo ndo ukweli. Mengine ni nadharia njama na usadiki tu.

Marekani huwa haipatii kila kitu. Kuna mengine hukosea.
 

Nchi ikiendeshwa kwa sheria ya uisilamu ni nzuri zaidi na ndivyo inavotakiwa, rushwa, ukandamizaji, zulma kwa wananchi hayatakuwepo, haki sawa kwa kila mutu na maisha yatakuwa mazuli sana, amani itatawala. (Kusoma dini ndio kipaumbele na ndio itatusaidia hapa duniani na kesho akhera) Kuhusu shule uislamu haukatazi mtu kusoma shule za secular, labda walete sheria zao binafc.
 
So shule nia hiyari yako [emoji23][emoji23]
ndiyo maana umeandika mazuli badala ya mazuri!
 


Uko vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…