Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Sioni Biden akirudi tena awamu ijayo,yale yale ya Trump yanaenda kujirudia.Biden kaenda Camp David atakuwa huko hadi Jumatano na wapambe wake kudeal na hizi crisis tatu. COVID-19, Afghanistan na Wazamiaji ambao wanazidi kumiminika mpakani na Mexico.
Dah! Hiyo ID yako ni noma.Sioni Biden akirudi tena awamu ijayo,yale yale ya Trump yanaenda kujirudia.
Kwa hiyo watakuwa wanajifungia na huo uislamu wao pekee hawataruhusu watu wa dini nyingine kwenye nchi yao?Nchi ikiendeshwa kwa sheria ya dini ni nzuri zaidi, rushwa, ukandamizaji kwa wananchi haitakuwepo, haki sawa kwa kila mutu na maisha yatakuwa mazuli sana, amani itakuwepo. (Kusoma dini ndio kipaumbele na ndio itakusaidia hapa duniani na kesho akhera) Kuhusu shule uislamu haukatazi mtu kusoma shule, labda walete sheria zao.
Gen. Kenneth McKenzie's(mkuu wa vikosi vilivyopo middle Easte)Jenerali yupi?
Hakuna kitu kama hicho,kwani hii ndio inakua mara ya kwanza kwa Taliban kuitawala Afghanistan? Mwanzo ilikuaje? Jiulize hivyo kwanza utapata jibu.Kwa hiyo watakuwa wanajifungia na huo uislamu wao pekee hawataruhusu watu wa dini nyingine kwenye nchi yao?
Huenda ikawa hivyo ndugu maana Marekani ina sura mbili.Mhh...
Kile kikosi cha wanajeshi 5000 wa marekani waliotumwa leo kwenda Afghanistan kuwaokoa diplomats sio kwamba kimeshiriki kufanya hujuma kweli?
They camouflage as American soldiers kumbe ndio mataliban wenyewe
Kwanza kashazeeka mnoSioni Biden akirudi tena awamu ijayo,yale yale ya Trump yanaenda kujirudia.
Hapo sabb ilikuwa ni kile kipigo cha september 11 tu, hkuna maslah yoyote walopata ila khasara jombaaWe unadhani US wanawapenda sana Waafghanistan mpaka waende kupoteza hela zote hizo bure tu?
So shule nia hiyari yako [emoji23][emoji23]
ndiyo maana umeandika mazuli badala ya mazuri!
Vyombo vya kibongo kazi kubwa ni kutafuta umbea na kuhoji wapuuuzi hawana upana wa kutafuta habari bali umbea na udakuKwanza nalaumu sana vyombo vya habari vya kiswahili sababu siku zote vimekuwa vya mwisho kwenye kuripoti habari kwa uharaka.
Talebani wako ndani ya ikulu ya Kabul wakikagua kagua.
[emoji327]source: Aljazeera English
Opium inayotengeneza heroin, asilimia 90 inalimwa AfghanistanMkuu, Afghanistan wana rasilimali gani hadi waweze kuwalipa USD 6 trillion x 100?
Kwa hiyo watakuwa wanajifungia na huo uislamu wao pekee hawataruhusu watu wa dini nyingine kwenye nchi yao?
Nimeona kwenye video Wananchi na wageni wakiwa desperate kuondoka Kabul.
Hakuna wanajeshi bana,wanajeshi gani lege lege hivyo? Hakuna hata ndege za jeshi? Hakuna vifaru? Hatusikii wakipigana zaidi ya kukimbia uwanja wa vita? Kuna wanajeshi au mgambo?